Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

chuki za watu zisitunyime viongozi Bora kama Makonda, Sabaya na Hapi
 
Tatizo lilianza pale hikicheo cha uenezi kuwa filimbi ya mwenyekiti na sio mtu wa kueneza propaganda na falsafa.Katibu mwenezi wa mwisho ni NAPE the rest wanacover tu position.Kimsingi huyu wasasa Hana credibility lakini atafichwa na Kinana.
 
He will never be anything
IMG-20231022-WA0190.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite ni panda hassa anafaa kobe a mzigo wowote ule na anajua kumfurahisha bosi Samoa yupo slow katika usimamiz aliwachagua wale viongozi wawili wamsaidie hakuona impact a anemleta bashite mtu ambae anachohitaji ni kazi tu na kama atahakikishiwa kuwa yupo salama yupo Taylor kufanya lolote lile
 
Sahhi as he is scapegoat
 
huyu jamaa amekuwa Kama kitabu Cha kujisomea na kujifunza , harakati za maisha. utata, wema, bahati mbaya , kusakamwa, kuwindwa , kuwinda , kutengwa na kukataliwa , kupolwa kibali, kujiliwa n. k.
Ila kwa aliyopitia Nampa pongezi nyingi , hongera kwako makonda , nimejifumza kitu ktk harakati ulizopitia . U have something unique.
 
Back
Top Bottom