Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Sijui Samia amempendea nini Makonda.
 
Vetting system ni muhimu sana kwa Viongozi Wakuu.
Ni muhimu watumishi Serikalini wasiwe wanasiasa.
Kwa mfano Mh.Rais Dr.Samia angelimtaka Mh.Makonda kusema pale pale hao wanaohusika,nadhani ingeleta picha tofauti kabisa na kuaribu dhima nzima ya Kumbukizi ya Hayati Waziri Mkuu Edward M Sokoine.
Presha presha za namna hii ndizo zinafanya baadhi ya Wasomi either kuogopa kusema ukweli au kutojihusisha kwa namna yeyote kusaidia Nchi katika ushauri/maamuzi hasa katika nyakati ngumu za uajibikaji.
 
Naamini hujafanya utafiti wa kutosha kwamba waponama la. Kwa hiyo huna haki ya kuhitimisha kuwa hawapo mawaziri wa namna hiyo.
Yeye kasema ni mawaziri wanaume na wanajuana (anawajua na wanamjua)
Subiri muda.
Makonda ni mropokaji tu,wakati ule aliwataja watu kibao kuwa wanauza ngada je kati yao nani alifikishwa mahakamani hadi leo? Huyu ni mbwakoko anabwekabweka tu.
 
Watajwe wote 😄😄😄,sijaona kosa hapo
Acha watajwe
Alijifanya kutaja taja majina ya watu hovyo, akasema ni wauzaji wa madawa haramu ya kulevya,mwisho wake akaaibika yeye, sasa kama watu wanamtukana mtu kwenye mitandao si tcra wapo? Yeye ni tcra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…