Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli nimeamini ukimtoa rais na makamu wake anayefuata kuwa na nguvu kubwa kimamlaka ni huyu jamaa.
maana anafanya kazi za kitaifa na siyo kulingana na mamlaka yake yanavyomtaka.
Sure,hao watu wameanza hivi punde baada ya yeye kutolewa kwenye Uenezi?Mbona asiwataje siku zooote hizo?! Anataka tu kuchonganisha.
Hii ni tabia yake tokea enzi za mwendazake,how you do anything is how you do everything.....huenda kuna ombwe ktk uongozi, na Makonda ameamua kulijaza.
Hii ni tabia yake tokea enzi za mwendazake,how you do anything is how you do everything...
hakika iko hivyo, na aliyoyasema na yeye katumwa kuyasema kwa sababu huyo aliyemtuma yeye hawezi kusema kwenye hadhara kama hivyo, maana ni jambo la kujishushia heshima...huenda kuna ombwe ktk uongozi, na Makonda ameamua kulijaza.
Wawa rekodi tu, wawamwage adharani tuwafahamu wanafiki hao!Mimi naamini samia atakuwa analijua hilo sasa nani wa kulisema hadharani naamini katumwa aliseme hili
Tarehe 14 ni jumapilicheki sasa hapo hao mawaziri wamepewa muda gani wa kuacha tabia ya kumchafua Rais mitandaoni. Tarehe 11 hadi 14/4/2024., sasa ndani ya hizo siku mbili atajua kuwa wameacha ama la?!
Afrika kuna mahali tuliharibu, kisha tukaharibikiwa
JESUS IS LORD&SAVIOR
Sijui Samia amempendea nini Makonda.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ikifika Aprili 15, 2024 atawataja kwa majina Watu wakiwemo Mawaziri wanaotoa fedha za kuwalipa Watu ili wamtukane Rais Samia mitandaoni kama hawataacha.
Akizungumza wakati wa Kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Sokoine, amesema "Kaka zangu mnaotuma na kulipa watu kumchokoza Mama yangu Samia mnanijua na mimi nawajua, wengine ni Mawaziri leo tarehe 12 iwe mwisho"
Aidha Makonda amemwomba Rais Samia kutoa Fedha za ujenzi wa Kilomita 20 za Lami Jijini humo na kueleza kuwa Wananchi wamemtuma amuombe Mama yake na wanampima kama ni Mama yake kweli
=========
Akitoa salaam za mkoa kwenye kongamano la kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine leo hii 11 April 2024, amesema kuna watu, wakiwemo mawaziri wanawatuma watu kumtukana Rais Samia mitandaoni.
Makonda kasema anawajua na wao wanamjua. Amewataka waache kufanya hivyo leo hii. Ameonya wasipoacha atawataja majina yao siku ya Jumatatu tarehe 14 April 2024.
Unaweza kubashiri ni mawaziri gani wanafanya hujuma hizi dhidi ya bosi wao? Au Makonda anatafuta kiki?
Maana hata jiwe alimdanganya kama hivi, ndiyo maana jiwe akawa karibu sana na Makonda. Jiwe alipokuja kugundua kuwa aliingizwa chaka akamtema.
View attachment 2961639
Source:. Kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine
Pia, soma=> Rais Samia akiashiriki Misa Maalumu ya miaka 40 ya kumbukizi ya Kifo cha Hayati Sokoine
5.Waziri wa shambaniNikizingatia historia ya utofauti wa damu kati ya mawaziri hawa na huyu "jasiri" Makonda, nahisi watatajwa siku ya jumatatu:-
1. Waziri wa umbea.
2. Waziri wa maokoto.
3. Waziri wa shughuli.
4. Waziri wa ujirani.
Hasa hasa huyo namba 1 na namba 3, sijui!!!.
Makonda ni mropokaji tu,wakati ule aliwataja watu kibao kuwa wanauza ngada je kati yao nani alifikishwa mahakamani hadi leo? Huyu ni mbwakoko anabwekabweka tu.Naamini hujafanya utafiti wa kutosha kwamba waponama la. Kwa hiyo huna haki ya kuhitimisha kuwa hawapo mawaziri wa namna hiyo.
Yeye kasema ni mawaziri wanaume na wanajuana (anawajua na wanamjua)
Subiri muda.
.MwiguluNimetajwa humu🫢 KABLA ya jumatatu
Makombo ndo mhusika hapo Majaliwa hana mda huo!.Mwigulu
.Nape
.January
.Majaliwa
Kwa uchache niliowasikia,Mama aanze nao kuwala kichwa
Alijifanya kutaja taja majina ya watu hovyo, akasema ni wauzaji wa madawa haramu ya kulevya,mwisho wake akaaibika yeye, sasa kama watu wanamtukana mtu kwenye mitandao si tcra wapo? Yeye ni tcra?Watajwe wote 😄😄😄,sijaona kosa hapo
Acha watajwe