Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Kutukanwa ni jambo la kawaida kwa viongozi, Mama hatukanwi ila anapashwa ukweli kwani kuna mengine anayoyafanya hayana vichwa wala miguu. Mama anachostahili kukifanya ni kukaa na kutafakari hii support anayopata toka kwa viongozi wa CCM na waandishi wa habari ni support ya ukweli au ni unafiki tu. Mimi nasema ni unafiki kwani wengi wa hawa watu wanataka ulaji tu na ndiyo maana wanampaka Mama mafuta kwa kumpa sifa za kijinga huku wakijuwa kuwa wanamchezea tu. Mama kuwa makini na hizi sifa usizostahili.
 
Hili suala anayelikoleza chumvi yule nyamitako,mbona Rais mwenyewe anayasoma na kupuuza tu lakini huyu mjinga aliyejaaliwa kuwekwa makalio ya shangazi yake ndiye analeta shida
 
Kituko zaidi ni kuwa wale waliokuwa wanamtukana na kufurahia akitukanwa Magufuli na kumuita dikteta leo ndio wanaolalamika Samia akikosolewa.

Mfano Mange kimambi alimtukana sana Magufuli watu wakafurahia na kumpachika jina la dada wa taifa. Magu akakausha tu.
Leo Samia kakutana na mziki wa dada yao wa taifa Fasta account imefungwa.
Tujifunze uvumilivu
 
Kama unamaanisha kwamba Rais anachukulia hayo matusi kama unavyosema wewe, umemchukulia poa Kiongozi wako..
Kama ambavyo ameweza na kumudu kuwa Rais na kuongoza kundi hawez kuwa na mindset dumavu hivyo. Wewe ndo unaeteseka!
 
Hahaha hata mimi matusi mapya hayaniumizi kichwa mfano shati lako ama android yk
 
Kuitwa msagaji sio tusi, ni tuhuma ikiwa bado hazijathibitishwa. Sasa suala ni kwamba ni tuhuma za kweli? Kwa nini useme umetukana kuliko kusema umetuhumu basi?
Mkuu naona hauko peke yako mpo wawili jitahidi ukishabaki peke yako haya njoo tujadili!
 
Nafikiri hiki kiswahili kikifika kwako tusi hugeuka kukoselewa hivi mtu anapoambiwa msagaji ndio kukosolewa kwa lugha yenu!
Jana ilikuwa jumatatu leo jumanne. Yule bwana wa kuombewa ombewa hajamaliza tu awataje wanaomtukana raisi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…