Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Ndizo siasa anazoweza Makonda, siasa za kizandiki hakuna jingine.
 
Apewe ulinzi Mtu huyu
 
Yaani aibu tupu. RC anawapa onyo Mawaziri tena kwa vitisho!! Ndiyo maana tunasema CCM na Serikali yake imeishiwa maarifa.

Hebu fikiria wakati Konda Boy anatoa upupu wake ule, Kuna Watendaji Wakuu wa Chama na Serikali walimshangilia.
 
hapo kwenye kaka zangu hawakosekani chadema

nawasiwasi huwenda walimtumia mange
Ninavyofahamu ni ambition ya kila mbunge kuteuliwa Uwaziri,haingii akilini Waziri alipe watu kumtukana mtu aliyempa ulaji. Mawaziri wote ni machawa wa Rais hivyo haingii akilini wao walipe watu kumtukana Rais boss wao. Hapo Makonda amejichanganya kutaka kumlaghai Rais.
 
Jamaa
Jamaa kaehuka masikini hata hajui kazi ya ukuu wa mkoa aliyopewa ni ipi.
Maandiko matakatifu hayajawahi kukosea.
Ukimwaga damu ya mtu huwa inakulilia kutoka mavumbini ikidai kisasi kwa Muumba.
Damu ya kina Ben saa8 na za wengine zinamlilia kutoka mavumbini.
Magu alimtema ukuu wa mkoa baada ya kumshtukia ila haikusaidia maana alichelewa sana kumtema.
Kikombe kilikuwa kishajaa.
Mawaziri adui za makonda hasa wale ambao hawatetemishwi na mikwara mbuzi yake jiandaeni kutajwa kuwa nyie ndio mnamlipa mange kimambi kwa matusi aliyomtukana rais.
Mtu huyu Makonda hana haya ya uso ndiye aliyewataja kina Gwajima kuwa ni wauza unga na wengine wingi kwa uongo tu kutimiza lengo lake kujipendekeza kwa Magu.
Bahati mbaya Magu alipenda umbeya na alinaswa nao.
Mh rais Samia akiingia mtego wa ubuyu wa huyu mteule wake atajikuta akiingia kwenye tope la udongo wa mfinyanzi.
Huyu makonda haoni shida kujipendekeza kwa hata gharama ya kuua nafsi ya mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…