Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Lazima hili jambo lichukuliwe serious na Makonda ahojiwe na ikiwezekana awataje..... tofauti na hapo bomu linalotengenezwa halitakuwa zuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda amekuwa "mkuu wa wakuu wa mikoa"..
Kila anapokuwepo lazima alazimishe kujiweka juu ya wengine.
Hilo kundi lipo, usibishe.Hakuna waziri anafanya hicho kitu bali Makonda anatafuta namna ya kuwapaka shombo mawaziri ambao hana mahusiano nao mazuri kama; Nape Nnauye, Januari Makamba, Hussein Bashe, Riz 1 Kikwette.
Kupata uwaziri ndiyo ndoto ya wabunge wengi baada ya uchaguzi. Rais Samia amekupa Uwaziri, unaanzaje kulipa watu wamtukane mtu alikupa Uwaziri ambayo ni privilege adimu?
Yaani huyu Makonda anaweza kuwa na TAARIFA za ndani kuliko TISS wenye kazi yao?
Kama ambavyo akiwa Mwenezi wa CCM hakujua majukumu yake, huku nako kwenye u RC wa Arusha bado Makonda hajui kazi yake.
USHAURI KWA RAIS SAMIA:
Chonde chonde Rais Samia USIINGIE mtego huu wa Makonda. Huyu NI ZEROBRAIN atakuharibia uRais wako.
Haiba yako Rais Samia na ya Makonda haziendani. Wewe ni muungwana na mpenda haki na uhuru wa maoni. Huyu ananuka damu za watu aliowaua na anatamani na wewe umruhusu aanze kuteka na kuua.
Piga chini, muache na maisha yake maana hata Magufuli aliyemleta mwaka 2016 kama RC Dar alikuja akamchoka na akamtema mwaka 2020.
Kwa mara ya kwanza leo nakuunga mkono.Askofu Gwajima alishatoa laana Kwa Bashite since longtime ago,nashawishika kuamini kuwa ile laana ya Gwajima Bado imeshika hatamu,kila anapogusa Bashite panageuka uchuro kwake...
Naamini hujafanya utafiti wa kutosha kwamba waponama la. Kwa hiyo huna haki ya kuhitimisha kuwa hawapo mawaziri wa namna hiyo.Hakuna waziri anafanya hicho kitu bali Makonda anatafuta namna ya kuwapaka shombo mawaziri ambao hana mahusiano nao mazuri kama; Nape Nnauye, Januari Makamba, Hussein Bashe, Riz 1 Kikwette.
Kupata uwaziri ndiyo ndoto ya wabunge wengi baada ya uchaguzi. Rais Samia amekupa Uwaziri, unaanzaje kulipa watu wamtukane mtu alikupa Uwaziri ambayo ni privilege adimu?
Yaani huyu Makonda anaweza kuwa na TAARIFA za ndani kuliko TISS wenye kazi yao?
Kama ambavyo akiwa Mwenezi wa CCM hakujua majukumu yake, huku nako kwenye u RC wa Arusha bado Makonda hajui kazi yake.
USHAURI KWA RAIS SAMIA:
Chonde chonde Rais Samia USIINGIE mtego huu wa Makonda. Huyu NI ZEROBRAIN atakuharibia uRais wako.
Haiba yako Rais Samia na ya Makonda haziendani. Wewe ni muungwana na mpenda haki na uhuru wa maoni. Huyu ananuka damu za watu aliowaua na anatamani na wewe umruhusu aanze kuteka na kuua.
Piga chini, muache na maisha yake maana hata Magufuli aliyemleta mwaka 2016 kama RC Dar alikuja akamchoka na akamtema mwaka 2020.
Kwenye kumbukumbu ya Sokoine Sokoine mwenyewe kusahaulika!🤣Huyu ni mjinga
Uteuzi wa mamneno katika lugha ya kiswahili huyu hajui
Mada inahusu nn? Sokoine
2. Hadhira ni nani? Wasikilizaji ni nani?
3. Mazingira/ muktadha ni upi?
Yeye anaongea tu kama MWEHU
IV unaongea kwenye kumbukumbu ya sokoine bila hata kumtaja huyo SOKOINE MWENYEWE . WEWE UNAKIMBILIA KUPIGA WATU MIKWARA? UTAIWEZA WAPI BASHITE WEWE
Hembu kuwa bhana. Zingatia zile 4 R
Ebow
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu.
Sababu uliyoitaja Magufuli kumtema Makonda kwenye u Rc ni ya uongo.
Sababu iliyomtemesha Makonda uRc ni msimamo wa Magufuli wa viongozi kuacha kutumikia vyeo viwili, mara uRc mara ubunge na akawaambia wenye nafasi zao watulizane kwenye nafasi hizo na aliyeondoka kwenda kugombea ubunge alifutwa kwenye nafasi yake.
Hilo halijamtokea makonda peke yake ni viongozi wengi waliopoteza nafasi zao kwa ajili hiyo.
Sasa unapokuja na upotoshaji wako hapa, unaharibu uzi wako wote huu na kuonakana ni muongo na unaandika habari hii kwa chuki.
Wote, aliyemteua na yeye level za akili zao ni moja. Nionyeshe wateule wako nikuambie wewe ni kiongozi wa aina gani!Bashite, mamlaka ya uteuzi itengue uteuzi wake haraka sana, kwenye kiapo wanakiri na kuahidi kutotoa Siri zozote wanazozijua HADHARANI Kwa maslahi ya TAIFA,au labda Kwa idhini ya Rais,Sasa either ana ruhusa ya Rais katika KUTAMKA huo upuuzi wake au kama Hana basi hiyo nafasi haimstahiki kuendelea nayo.
Mfitini ni mfitini tu hata kama hakuna fitina atatafuta fitina kufitanisha.
Kama anabisha kuna kwenye mtandao wa X kuna kundi ambalo linaongozwa wa Waziri fulani na kuwalipa watu wamtukane Rais lengo lao kubwa Mama achafuke ili asigombee 2025 ili team yao iingie!Hilo kundi lipo, usibishe.