Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Hilo kundi lipo, usibishe.
 
Bashite, mamlaka ya uteuzi itengue uteuzi wake haraka sana, kwenye kiapo wanakiri na kuahidi kutotoa Siri zozote wanazozijua HADHARANI Kwa maslahi ya TAIFA,au labda Kwa idhini ya Rais,Sasa either ana ruhusa ya Rais katika KUTAMKA huo upuuzi wake au kama Hana basi hiyo nafasi haimstahiki kuendelea nayo.
 
Naamini hujafanya utafiti wa kutosha kwamba waponama la. Kwa hiyo huna haki ya kuhitimisha kuwa hawapo mawaziri wa namna hiyo.
Yeye kasema ni mawaziri wanaume na wanajuana (anawajua na wanamjua)
Subiri muda.
 
Kwenye kumbukumbu ya Sokoine Sokoine mwenyewe kusahaulika!🤣
Hatari sana
 

Makonda alitaka kurudi kwenye ukuu wa mkoa, akamwomva Hayati, lakini alimkatalia kwa sababu moja kubwa kwamba alikuwa anaongea uwongo kwa viongozi mbalimbali wa chama eti Hayati Rais Magufuli alikuwa amemtuma akagombee ubunge ili amteue kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Hayati Magufuli mpaka akalazimika kutamka hadhari mbele ya vyombo vya habari kuwa wajumbe wasidanganyike, hakuna mtu ambaye yeye Hayati Magufuli alikuwa amemtuma kwenda kugombea ubunge. Aliyasema hayo akimlenga Makonda.

Uwongo, Makonda hajaanza leo, ni hulka yake. Hakuna mtu mwadilifu kabisa wa nafsi anayeweza kufanya kazi na Makonda.
 
Wote, aliyemteua na yeye level za akili zao ni moja. Nionyeshe wateule wako nikuambie wewe ni kiongozi wa aina gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…