Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Ule wazimu wake haujapona. Wewe mwache azidi kukivuruga chama sisi tumekaa pale👉👉
Nadhani anakijenga chama maana tulishakisahau kabisa baada ya Aziz Ki kunyimwa goli halali huko South , sote tulihamia huko Pretoria
 
Makonda ni mjinga sana sana. Hana akili na ataishia sehemu mbaya sana.
 
Hata Chalamila alisema kuna Mawaziri wanatafura hela huko nje kwa ajili ya Urais! Lisemwalo lipo japo uwasirishwaji wake ndo tatizo!
Ila kuna Mawaziri hawataki kabisa Mama 2025 aendelee na hiyo ndo hali halisi ndani ya chama! Sema Makonda kwa kuwa wanajua haogopi wamempa jukumu la kuwasema hao wanahusika na mamabo hayo!
Kuna kundi hawataki kabisa Samia aendelee kutawala baada ya 2025 na hilo jambo litatikisa sana ndani ya chama cha mapinduzi kadri mda unavyoenda kueleke uchhaguzi wa mwakani!
 
Makonda hawezi kuropoka,hapo kapangwa na wahusika,huyu jamaa Kuna kitu anacho ndani ambapo viongozi wa juu Wana kiona,ila sisi huku chini na chuki zetu kutwa kumtukana hapo Kuna wakati anaropoka mambo ya hovyo! Awamu zote tatu anapata uteuzi,akianzia kikwete,Jiwe na sasa mama. Makonda ataendelea kuwepo navyoona.
 
well done RC, comrade Makonda 🐒
 
Makonda ni mjinga sana sana. Hana akili na ataishia sehemu mbaya sana.
Makonda hafanyi hayo kwa bahati mbaya! Wewe kwa akili yako unaamini kabisa Makonda kayasema hayo kutoka kwenye akili yake japo mnamsema zero brain!
Kama unatembelea mitandao ya kijamii hilo jambo la baadhi ya Mawaziri kutafuta kila mbinu ya kumchafua mitandaoni Rais Samia lipo ili kufankisha ajenda ya kundi fulani ili Mama asigombee 2025!
 
Pumbavu zako Makonda! Kwani hufahamu mahali pa kutoa taarifa au na wewe unatafuta umaarufu wa mitandaoni!

Kutwa kucha kuchongea na kuwabamnikizia makosa wenzako!
we itakua umelipwa na mtendaji wa Kijiji kwa mihemko hiyo 🐒
 
Huyu ni mwehu wallah.
Yeye kila wakati anataka kutengeneza njia yake kwa kutia majani njia za wenzake.
Hatowataja maana hawapo sema tu amewaharibia wenzake. Samia atakaa kwa kuhisi hisi kitu kisichokuwepo.
Ni kama mchezo wa Nabii feki na waumini wake huwa hauishi. Kila siku anakujengea mazingira kuwa una maadui wengi na yeye ndiye msaada pekee
 
Na hawezi kuwataha kamwe kwani wameishaacha matusi yao. Lakini kama anawafahamu tangu mwanzo kuwa walikuwa wakimtukana Rais kwanini aliacha kuwashughulikia mapema?
 

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…