Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
TISS hawajui kila kitu jamaniiii... especially hawa wa dunia ya tatu hawa wako busy kutafuna black budget ya Ikulu ambayo CAG Kichere haruhusiwi kuigusa....
Hata TISS ya Putin hawajui kila kitu, sasa hivi wanahaha kutafuta nani kawapiga kwenye ukumbi wa starehe mjini Moscow juzi ... na wale wana technology wakitaka kukupoteza wanakupaka ka poda mkononi paaap... unaenda kufia mbele, sisi TISS wetu mpaka wakukwide kwenye Noah Nyeusi, wakumiminie mirisasi 50 mchana kweupe na bado wanakukosa at point blank range... msiwape credit saaana kwa ukachero eti wana nasa kila taarifa jamani....
Samia kasema computer zetu za TPA na TRA hazisomani, wako wapi hao wataalam wa ku hack into encryption za whatsapp, telegram na telegraph kama hawawezi hata kuunganisha server za mashirika jamani jamani jamaniiiiii ???
Ndo maana Makonda kamchana Mama, huna taarifa mawaziri right under your nose wanakuhujumu, nina ma hard evidence na ma state secrets nyumbani kwangu, nikiamua nitakupa, na wenyewe mawaziri wanajua nawajua, vetting ya cabinet yako is putrid and pitiful, washakujulia, mtu akikusifia sifia kidogo kichawa na kinafiki unampaisha....
Yale yaleeeee ya CDF Mabeyo, Makonda nae anamwambia, Bi Mkubwa when you get a chance call me, I will bring you up to speed on some sensitive material, because you have no skin in the game.... All these new jacks you are stacking at TISS they are all busy plundering and pillaging the black budget, they don't know nothing. No wonder tumeanza kuchapwa na Kagame huko, majeneza ya JWTZ yanarudishwa nyumbani kimya kimya, big elephant in the room.
Watu waachwe wachukue fomu za CCM wakiomba, January Makamba ndio kaibua huo mjadala mitandaoni jana, sio mimi.
Siwezi kuwalaumu TISS. Intelligence kwa sasa ni technology advancement. Je tunajua hata budget ya TISS kwa mwaka ni how much so as to advance in technology such as blockchain , AI, proximity , crowd platform etc etc ?
TISS yetu kwa tafsiri nyingine ni UMBEYA, we don’t have proper technology to detect the danger . Hapa hapa JF , TISS wakimtaka member ni aidha kwenda kumbana pumbu Max atoe taarifa, au wamtishe kwa sms za upuuzi and most members are using fake credentials…… including me .
apart from kumtait Max hawana ujanja, wakienda Tcra kufuatilia connectivity issue watafeli pia , by the way , member wa JF ana impact gani kwenye economic advancement ya nchi…..lakini utaona mambo wanayodili nayo ni form
Of umbeya.
Ishu ni technology na bajeti na ndio maana utaona wakitembea wana silaha nyingi, akili inazunguka kwenye nguvu na silaha while now days unatoa uhai just by technology and no gun shoot