Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kati yenu na Wadhungu nani anamtegemea mwenzie?hata shati,viatu ,chupi mpaka simu vyote ni vya kwao,labda vyungu na magome ndiyo asili yenu.
 
Naamini makonda akikanusha anayotuhumiwa nayo hawa jamaa wataleta ushahidi wao. Ni Makonda akanushe tuhuma hizi!
 
Puuhh


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mtazidi kuumbuka Pompeo hakukurupuka.
Awamu hii kakurupuka Kwa nusu Habari.
Ndio maana Twitter wazungu wenzake wanamponda Kwa kumuwekea ushahidi jinsi serikali yake inavyofanya hayo anayomlaumu mknda huku wabongo wanamsifu na kumuenzi mkuu pompe
 
Unafikiri USA wanaropoka bila ushahidi. Serikal ya Tz haiwezi fanya ilo jaribio la kujishambulia. Mmarekani kila data anazo. Anasubiri tu right time afanye mambo yake. Tena akichokonolewa anaweza toa mpaka ya magufuli. Apo wamempa trailer tu. Maguful is next.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna alieondoka kwenye hoja ya Makonda, Mwamposa kasababisha vifo 20 either kwa kujua au kutokujua I don't kno, but Bashite inawezekana kabisa kaondoa roho zaidi ya hizo 20 huko vichochoroni, jamaa halifai kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyewadanganya kuwa Paul Makonda ' atatumbuliwa ' hapo kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni nani? Mnajisumbua bure!
Haitasaidia chochote kumtetea huyo wakala wa shetani, aondolewe au asiondolewe sio issue, la muhimu sasa ulimwengu mzima unajua huyo Makonda ni vampire, linatoa roho za watu ndio maana linazidi kunenepeana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona unakuwa mgeni duniani.
Rais sio waziri wao amewahi kumsingizia Sadam kumiliki manuclear.

Naomba ushahidi, kama waliwahi kudanganya Dunia wanashindwaje kudanganya wabongo.

Wawapelekee watu wetu wa usalama huo ushahidi ili Makonda asaidiwe kama kweli.
 
matunduizi,
Mleta uzi nadhani wewe umezaliwa juzi. Hakuna nchi yoyote duniani hapa uenye ubavu wa kufunga ubalozi wa Marekani nchini mwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…