Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Screen yangu imepasuka sioni chochote unaweza nitumia voice note? Aah nimekumbuka na speaker yangu pia mbovu!!!!!
Fanya kazi acha uchawa kaka utafinywa na wachawi wa himaya hii
 
Mnamsema Makonda huku mkisahau CHADEMA walivyo tengeneza mazingira ya Kiuhasama na Ugaidi dhidi ya Taifa hili? Mbula.

Mazingira haya yanayo lelewa na CHADEMA hayata wapa kura.

CHADEMA ni Adui wa Taifa hili na Usalama wake wa Kitaifa.
ACHENI UCHAWA JAMANI FANYENI KAZI MAFISADI WAKUBWA NINYI
 
Fisadi mbwa WEWE eti ulikunywa kret nzima ya bia ninyi ndo tusio wataka katika nchi hii
 
Mkuu kama sio umenunua simu mpya, basi uko juu ya bodaboda, ukishuka uandike upya huu Uzi wako.
 
Mnamsema Makonda huku mkisahau CHADEMA walivyo tengeneza mazingira ya Kiuhasama na Ugaidi dhidi ya Taifa hili? Mbula.

Mazingira haya yanayo lelewa na CHADEMA hayata wapa kura.

CHADEMA ni Adui wa Taifa hili na Usalama wake wa Kitaifa.
Ww lazima utakuwa ni mzee, maana wazee ndio huwa wanatekwa kirahisi ni propaganda za kipuuzi.

Cdm watapata kura gani kwenye hizi chaguzi za kishenzi?
 
Hapo anatamani damu, ila bado anapima upepo, kwanza anaendelea kuwazoesha wananchi kwamba ukatili sio jambo baya, ikishawqingia wananchi, ndipo anaanza kuteka na kuua
Kateuliwa na nani??
 
Hapo anatamani damu, ila bado anapima upepo, kwanza anaendelea kuwazoesha wananchi kwamba ukatili sio jambo baya, ikishawqingia wananchi, ndipo anaanza kuteka na kuua
Mkuu huyu mtu ni hatari ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…