Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

hivi tangu wamzuie kuingia marekani amepungukiwa na nini? au nchi yao ina pepo ambayo makonda ataimiss who is america anakitu gani cha special amacho makonda bila kwenda hataishi? wanahangaika bure akiamua kwenda kula maisha hata uingreza anaenda nako ni kuzuri kama marekani tu
 
Baada ya trump kushinda timu yake ya kina Pompeo inarudi..
Ndugu yetu bashite anahali gani huko Tanzania?!
yuko vizuri anaendelea na majukumu yake kam mkuu wa mkoa wa arusha na anaendelea kuwanyoooosha chadema kama kawaida yake
 
Hivi hii Ban inatumika hadi leo????
 
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..

USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Nilidhani ungehoji Kwa Nini wamzuie yeye tuu katika wakuu wa mikoa 26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…