Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
By the way ringtone ya simu yangu ni am sorry JK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye orodha hiyo sioni mwenye uzito wa kupambana na Makonda!! Wote wale ni wepesi! Heavy weight pale Ni Makonda peke yake!! Anayefuatia kwa mbali ni mchekeshaji Mpoki. Andungulile alishaharibu na imekula kwake!! Hajui jinsi ya kula na wakubwa!!Angalia hii list[emoji116]
*WALIO CHUKUA FOMU KURA ZA MAONI JIMBO LA KIGAMBONI*
1-Winifrida Shonde,
2-Frank Chalamila no
3-Kassim Juma
4-Edwin Kweshijabo
5-Christian Hall
6-Daniel Sarungi
7-Ally Malima
8-Januari Kimanywa
9-Wande Kasaja
10-Kwesi Ukwaju
11-Dk. Faustine Ndungulile
12Lilian Wassira
13-Eliudi Mganga
14-Sogone Wambura
15-Mujuni Mwajauki (Mpoki)
16-Christopher Sauti
17-Daniel Madushi
18-Deogratous Kanyesa
19-Ramadhan Abdallah
20- *paul_christian_makonda*
21-Emanuel Lyimo
23-22-Rajabu Gundumu
24-Buimura Mboja
25-Winifrida Shonde
26-Denis Kalikawe
27-Thaddeus Musembi
28-Themis Rwegasira
29-Rashid Jumbe
30-Ally Msaki
31-Francis Mugisha
32-Jovin Sanga
33-Fredrick Mumba
34-Dk. Benjamin Mohamed
35-Dorit Glorious
Mwenye clip ya Gwajima akisema yeye hawezi kuwa mbunge, waziri au rais ni kujishusha hadhi akimaanisha cheo chake cha uaskofu ni kikubwa muno maana bosi wake ni Mungu,Kama ni hivo hata Gwajima atapita kawe?
Kwani chuki zinazuia kufanya kazi?Wewe mwanaccm au mmbeya tu. Acha chuki fanya kazi.
Kuna mjumbe asimpigie Bashite kura kweli? Bashite ana pesa bwana,na hajakurupuka. Akishinda kura wakamkata basi atamfuata Membe ACT.
.Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nyie, mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua, hao hao watu ndio anategemea wampitishe, wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao, na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Muda upo tusubiri.
Hamna lolote PCCMB wataipuuza tu hiyo miamala😏Hiyo hao wajumbe wakichekiwa kwanini pesa zinaingia nyingi kwao, kuliko kawaida lazima watapata shida. Kazi ipo
Kweli kabisa,baada ya miaka mitano ijayo Rais atakayekuja anaweza kupata tabu sana.Kwani wapenda madaraka wamekuwa wengi sana na wameona kuna security ya kutosha kufisha mambo yao hasa wasio waadilifuCCM wanashangilia utitiri wa watia nia ya kugombea ubunge kupitia chama lao la Joka la Kijani la Kishetani, lakini hii so dalili mzuri tunakoelekea tutakuwa kama Somalia kila mtu anataka kuongoza mwisho wake tutaanza kuzichapa kugombania madaraka ya kisiasa maana ndiyo kwenye maslahi. Watumishi hawajaongizewa mashahara kwa miaka Kitano,nani anataka umasikini na unyonge.
ACT- wazalendo wanamsubiri kwa hamu ili awe mgombea wao Kigamboni.Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nyie, mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua, hao hao watu ndio anategemea wampitishe, wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao, na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Muda upo tusubiri.
.
Wewe una chuki binafsi na Makonda,mbona kuna viongozi wengi wa Serikali wamehachia ngazi na kuchukua form za kuwania Ubunge - mbona hao huwasemi unakimbilia kumsakama Makonda na kudai eti comments JPJM zilikuwa zinamlenga yeye - your rabid hatred of this man knows no bound, same applies to your like mind ladden herein.
Kama wakazi wa Kigamboni wanamuhitaji mtu mwajibikaji, mfatiliaji, mchapakazi Makonda fits the bill - regardless ya kampein zenu za kutaka kumchafulia jina - mko driven na wivu tu wala si kitu kingine.
Kuna kitu kikubwa sana unasema hapa.Yule kala Pete ya Simba...hakuna wa kuthubutu kutoa jina..
Nguvu za kiza zina nguvu msisahau
Sifa ya kwanza ya kua kada lazima akili uzitie mfukoni..USITEGEMEE jamaa kukosa kura hata kama aliwatendea nn,,what they care ni chambilechoBinafsi ninaamini Bashite hawezi kutoboa Kigamboni. Liwe jua, iwe mvua, sioni akipenya kwenye kura za maoni za CCM.
Kwa watu msiofahamu tu, viongozi wengi wa CCM Dar na wanaCCM walikuwa wanamchukia Makonda kuliko hata mpinzani. Ukuu wa mkoa ulimfanya Makonda awaone watu wengine wote ni wapuuzi, wajinga na wapumbavu.
Muda ndio huu.
Makada waamue sasa.
Wewe TANMO, au yeye Bashite?Katika watu wanaokula Raha Duniani, Mimi ni mmoja wao
Binafsi ninaamini Bashite hawezi kutoboa Kigamboni. Liwe jua, iwe mvua, sioni akipenya kwenye kura za maoni za CCM.
Kwa watu msiofahamu tu, viongozi wengi wa CCM Dar na wanaCCM walikuwa wanamchukia Makonda kuliko hata mpinzani. Ukuu wa mkoa ulimfanya Makonda awaone watu wengine wote ni wapuuzi, wajinga na wapumbavu.
Muda ndio huu.
Makada waamue sasa.