Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Hatoboii mzeee...!! Ukitaka kujua Stone anaongeaga kinafiki tu mzee kuna yule mama wa kibaha sijui mkuu wa wilaya alimkosoa Bashite kuhusu swala la kuwaambia upinzani waliopo Dar kipindi kile jamaa wapo Qurantine kuwa wareport kwake kuwa ni Kauli ya ovyooo sana watu wakasema huyu mama kapata wapi nguvu ya kumkosoa Bashite. Dadeki juzi katumbuliwaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mapenzi ya baba kwa mwana hayapimikiii muulize Nape.
Huyo mama katumbuliwa bila kugombea jimbo lolote? Kama hajagombea halafu katumbuliwa basi kipindi kile ilimtouch kimya kimya 😀 😀 😀.
 
Ataonea nani wakati 2020-2025 watakua wenyewe tuu ma ccm
Kwa mujibu wa Le mutuz ambaye ni mshauri wake mkuu na mtaalam wa kumletea waganga wa kienyeji kasema, endapo Daudi Bashite atakuwa mbunge lazima apewe wizara mojawapo yenye kuongoza vyombo vya dola, kuanzia ya Ulinzi, mambo ya ndani, na utawala bora hataki wizara zingine zaidi ya hizo , Bashite ni mtu anayependa uonevu kupita Maelezo anapenda alitumia hizo wizara kwa manufaa yake binafsi.
 
Kigamboni hakuna mwana ccm amegombea zaidi ya bashite.. huko nasikia anapita kwa kura za ndio/hapana.

Amesha wahonga wote, na wengine wamepigwa stop na baba ake.
IMG_20200717_214705.jpeg
 
Akili za watanzania ni za hovyo Sana. Hivi mpaka Sasa mmeshindwa kujua Aina ya siasa za Tanzania kuamini makonda hatopita kigamboni. Jamaa anapita kigamboni na anaenda kuwa waziri.

Kwa akili hizi za watanzania sijui Kama wataweza kuiondoa CCM
 
Mpoki msimdharau katumwa na ile baniani yenye maugomvi na hiyo gombea...panju wa panjuani
 
Akili za watanzania ni za hovyo Sana. Hivi mpaka Sasa mmeshindwa kujua Aina ya siasa za Tanzania kuamini makonda hatopita kigamboni. Jamaa anapita kigamboni na anaenda kuwa waziri.

Kwa akili hizi za watanzania sijui Kama wataweza kuiondoa CCM
Shangaa wewe mkuu yani tanzania safari bado ni ndefu sana.. Mwana anasema vijana waliozaliwa 1982 wana tamaa sana kuwachotaa watu tu akili waone kuwa amemind. Mara ajishtukie aseme hajamtuma mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani dingi bhanaa.. Sema wenye akili timamu washausoma mchezo kitambo tu
 
Sidhani Kama hii nchi itakuja kuendelea maana sijapata ona taifa lenye raia vilaza Kama Tanzania. Yaani reasoning capacity ya wabongo Ni almost 0 kabisa.
 
Binafsi ninaamini Bashite hawezi kutoboa Kigamboni. Liwe jua, iwe mvua, sioni akipenya kwenye kura za maoni za CCM.

Kwa watu msiofahamu tu, viongozi wengi wa CCM Dar na wanaCCM walikuwa wanamchukia Makonda kuliko hata mpinzani. Ukuu wa mkoa ulimfanya Makonda awaone watu wengine wote ni wapuuzi, wajinga na wapumbavu.

Muda ndio huu.
Makada waamue sasa.
Hao wa kumkata bashite hawamuogopi jiwe?

Umesahau kilichompata nape alipopanga kumshughulikia bashite?
 
Ungekuwa na reasoning kubwa ungeshagundua ndege siyo unapiga blah blah humu
Sidhani Kama hii nchi itakuja kuendelea maana sijapata ona taifa lenye raia vilaza Kama Tanzania. Yaani reasoning capacity ya wabongo Ni almost 0 kabisa.
 
Hiyo kauli Magu alisema na alirudi kwa msisitizo,Katibu wa ccm taifa naye leo kasisitiza pia,Polepole naye ameshasema sana na kurudia tena akiwa kigamboni na akamtaja kabisa.

Kwahiyo kila dalili inaonyesha huyu jamaa ngumu kupita
Usidanganyike na propaganda za chama mkuu
 
Kuna mjumbe asimpigie Bashite kura kweli? Bashite ana pesa bwana,na hajakurupuka. Akishinda kura wakamkata basi atamfuata Membe ACT.
pesa hizi alizipata wapi?
Tuanzie hapo kwani yapo mengi yataibuka kuhusu hizi pesa zake.
 
Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..

Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.

Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nyie, mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua, hao hao watu ndio anategemea wampitishe, wengi CCM hawampendi.

Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao, na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.

Muda upo tusubiri.
Tamaa ni mzigo!
Mkuu wa Mkoa saa anataka Uwaziri!
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote.
Sasa Makonda achunge ulimi wake hadharani, hana kinga ya serikali, na yale madharau yake sasa ndo mwisho.
 
Niseme neno moja tu "Makonda atawashangaza wengi" muda ni rafiki mzuri..

Tukumbuke kuweka akiba ya maneno...
 
Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..

Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.

Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nyie, mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua, hao hao watu ndio anategemea wampitishe, wengi CCM hawampendi.

Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao, na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.

Muda upo tusubiri.
Watu wameshaanza madongo!
WhatsApp Image 2020-07-18 at 8.54.41 AM.jpeg
 
Back
Top Bottom