Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Matokeo bado.Yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo bado.Yupo
Hapo Magu huwa hakosei na kasema kabisa sijamtuma mtu si ningekuteua tu hamwelewi,polempole akasema hawa wanaojitambulisha huko mitandaoni tutawafundisha taratibu kwamba mmefanya kampeni mapema.
Licha ya yote mkumbuke Tuntemeke Sanga alipigwa viboko na mwalimu, akarudishwa kwao Songea na kuambiwa asikanyage mjini mpaka kwa ruksa ya mwalimu
Ohoooooo.Ina maana wamekula vijisenti vyake na kura wamemnyima ?Kwenye live youtube matokeo tayari makonda kashapotezwa
Weka sawa sawa, Ni msukuma mshamba wa madaraka.Sio wote waccm wanamchukia, baadhi yao tu tena Wanadaresalama kisa msukuma/mchapakazi na anasaidia wagonjwa, walemavu n.k
Navyojua pale kapelekwa makusudi kugombea ubunge na atapita tu ili iwe njia rahisi kupewa uwaziri, Magu anaakili nyingi, anaona mbali huyu mzee.
Makonda usibabaishwe na watu wachache,
Chama kimemuonyesha kwamba yeye si kitu; amedhbitiwa nje ndani....Utabiri umetimia
Matokeo bado.
Kipenzi changu ni nani ?Acha ' Ubwege Nazi ' wako hapa tafadhali huyo Mpuuzi wako ' ameshaangushwa ' na hata Kipenzi chako ameambiwa ' Kafurahi ' alivyoangushwa.
Makonda akalime maharage awezi pitaDaud Albert Bashite out !
BASHITE ana kiburi cha uzimaNaona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nyie, mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua, hao hao watu ndio anategemea wampitishe, wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao, na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Muda upo tusubiri.
Mambo wangu?Kipenzi changu ni nani ?
Poa kabisa.mambo wangu?