Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Kwenye orodha hiyo sioni mwenye uzito wa kupambana na Makonda!! Wote wale ni wepesi! Heavy weight pale Ni Makonda peke yake!! Anayefuatia kwa mbali ni mchekeshaji Mpoki. Andungulile alishaharibu na imekula kwake!! Hajui jinsi ya kula na wakubwa!!
Wenye akili zao waliponusa wakaona kigamboni Kuna potential mteule wakala Kona na kukimbilia majimbo mengine Kama kawe nk, ndiyo maana orodha ndefu lakini wote ni wepesi!! Makonda atapita asubuhi na mapema, hata kabla ya breakfast. Kwenye kampeni atatumia muda mwingi kumnadi "baba" ili apate kura za kishindo wala hatahangaika kujipigia kampeni. X-MP keshajikatia tamaa maana hajui kuusoma mchezo anaocheza "baba" halafu anaishia kumpinga hadharani badala ya kumsifu hadharani na Kama Kuna ulazima unamshauri faraghani!.
Hayo ya X-MP Ni ya mtu kula jeuri yake!! Usipoenda sambamba na aliyekuteua unategemea Nini? Scha ule jeuri yako Wala usikasirike maana huu mchezo hautaki hasira, na bahati hazijirudii Mara mbili!! Kula tu jeuri yako na utelemshie kwa soda ya baridi!! Hata Mpoki atakugaragaza kwenye kura za maoni!!
 
Kama ni hivo hata Gwajima atapita kawe?
Mwenye clip ya Gwajima akisema yeye hawezi kuwa mbunge, waziri au rais ni kujishusha hadhi akimaanisha cheo chake cha uaskofu ni kikubwa muno maana bosi wake ni Mungu,
 
Kuna mjumbe asimpigie Bashite kura kweli? Bashite ana pesa bwana,na hajakurupuka. Akishinda kura wakamkata basi atamfuata Membe ACT.

Na kwa jinsi alivyo na ' Siri ' Kali za Mtu Mmoja hivi sidhani kama kweli akihamia huko Kwingine atakuwa na hata Saa 24 za Kuendelea Kupumua.
 
.

Wewe una chuki binafsi na Makonda,mbona kuna viongozi wengi wa Serikali wamehachia ngazi na kuchukua form za kuwania Ubunge - mbona hao huwasemi unakimbilia kumsakama Makonda na kudai eti comments JPJM zilikuwa zinamlenga yeye - your rabid hatred of this man knows no bound, same applies to your like mind ladden herein.

Kama wakazi wa Kigamboni wanamuhitaji mtu mwajibikaji, mfatiliaji, mchapakazi Makonda fits the bill - regardless ya kampein zenu za kutaka kumchafulia jina - mko driven na wivu tu wala si kitu kingine.
 
Kweli kabisa,baada ya miaka mitano ijayo Rais atakayekuja anaweza kupata tabu sana.Kwani wapenda madaraka wamekuwa wengi sana na wameona kuna security ya kutosha kufisha mambo yao hasa wasio waadilifu
 
ACT- wazalendo wanamsubiri kwa hamu ili awe mgombea wao Kigamboni.
 
Mbona povu kwani tusubiri matokeo
 
Njia pekee ya kimharibia Makonda ni kumsifia sana kuwa yupo juu ya Jiwe, ili Jiwe limkate kwa hasira.... nje ya hapo hakuna namna.
 
Nadhani ukuu wa mkoa alikuwa hauwezi akajikuta ana friction sana na watendaji wake; ni kama alikuwa katwishwa mzigo mzito sana ndiyo maana ameamua kuutua mzigo huo. Mwanri na General Maganga nadhani wao walikuwa wanazimudu sana nafasi zao bila friction na wtendaji wao, ila sielewi kwa nini nao wamejitua.
 
Sifa ya kwanza ya kua kada lazima akili uzitie mfukoni..USITEGEMEE jamaa kukosa kura hata kama aliwatendea nn,,what they care ni chambilecho
 
Tunaweka rekodi sawa
 
Wajinga wameamua
Kigamboni huku wajinga tupo wengi....labda kamati kuu ifanye yake!! Maana jamaa analitembelea jimbo ucku na mchana.
 
Utabiri umetimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…