Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Mlitukana sana iko wapi
 
Bora asipite maana tunaenda kuongeza wimbi la kupoteza viumbe hai wengine.
Apigwe chini kwa aibu kabisa mshamba waadaraka yule.

Kuna jamaa kaandika Sasa hivi Gari moja tu ya RC inapita Dar na hakuna ving'ora Wala mapikipiki. Na mkoa una Hali nzuri ya hewa angalau kwa Mara ya kwanza toka alipopew U-RC.
 
Weka sawa sawa, Ni msukuma mshamba wa madaraka.
 
Utaweka wapi sura yako[emoji23] baada ya masaa mawili kupita
 
Binafsi sijategemea na nguvu alizokuwa nazo
Chama kimemuonyesha kwamba yeye si kitu; amedhbitiwa nje ndani....

Sasa ni raia kama sisi...ukiondoa ujumbe wa mkutano mkuu wa CCM.
 
BASHITE ana kiburi cha uzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…