Paul Makonda: Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbea, Majungu na Uongo?

Baada ya Meko kumtoa u-RC Makonda, anachoweza kuturingishia kwa sasa ni msambwanda tu. Maana baada ya Wema Sepetu kujikondesha yeye pekee ndiyo kabakia
 
Mmetufundisha roho mbaya, mbegu mliyoipanda imemea na matunda yake yanakomaa kwa kasi.
 
Inasemekana huyu Bashite wamesukuma ndani ingawa bado haijadhibitika.

Aliyemuona Bashite kwenye kumuaga marehemu pombe jana atujuze.
 
Yapi?
 
Roho za watu waliotangulia mbele ya haki badi zitaendelea kukulilia wewe na vitoto vyako hadi kiyama.

Bado wale ambao ulitumia cheo na ubabe wako kupora mali na fedha zao!
 
leo kweli Makonda anasimama kukemea umbea wa maneno? Ndilo amaeona baya kuliko yalr matendo yake?
 
Watawala hupenda sana maandishi haya katika Biblia kuhalalisha mamlaka yao, yawe ni ya halali au haramu, na pia kuwanyamazisha wale wanaotaka kujua ukweli kuhusu uhalali wa mamlaka yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…