Kazi pekee ambayo unaiweza na nashangaa kwanini Mama (Mwenyekiti CCM Taifa) Samia Suluhu Hassan hakuamini nayo ni ya kuwa Mwenezi wa CCM na nina uhakika kuwa hapa ungemsaidia mno na angekuja hata Kukushukuru baadae.
Labda nikusaidie tu kukuambia Makonda kuwa Siku zote Umaarufu wako unatokana na Nguvu ya Serikali hasa pale ukiwa Mkuu wa Mkoa kwakuwa Unaogopwa ila ukitoka tu katika Mfumo huna lolote na haraka mno tu Umaarufu wako nao unashuka na hata kuanza Kusahaulika mapema.
Kwa wenye Akili kubwa tunajua kuwa Mtifuano wako na Mrisho Gambo una Kishindo kikubwa cha Kushindwa huo Ubunge uutakao kwani endapo CCM itakuteua Wewe kugombea Ubunge na kumtema Gambo nina uhakika kwa Hasira Gambo atawahamasisha Wafuasi wake wampigie Kura zote Mpinzani atakayegombea kutoka ama CHADEMA au ACT kwa kile wana Simba SC tunachokiita UBAYA UBWELA na kupelekea Kushindwa Kwako vibaya.
Hakuna Watu WANAFIKI na MAFIA kama wa Arusha Mkoa ambao nimeuishi nikiwa Chalii huku hata Ubatizo wangu nao nikiupatia hapo katika Kanisa Katoliki la Kaloleni.
Yaani Watu wa Arusha waache kuwapa Kura ama Gambo wao au Lema kisha wakupe Wewe Kikaragosi mwenye Dharau, Matukio mabaya ya nyuma na Fisadi? Hizo Fedha zako Watu wa Arusha watazila zote bado katika Uchaguzi wa Ubunge kama ukigombea bado Watakutosa mazima.
Tunza huu Uzi wangu kwani najua hiki nilichokisema / nilichokiandika hapa kitajitokeza Kwako ndipo utajua na kuamini kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ni Habari nyingine kwa Maono na kunusa HATARI zijazo.
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUEPurely talented and charismatic fella.
Uko sahihi 100% kwa hili Mkuu.Sidhan kama watu wa Arusha wanaweza kubali kumchagua msukuma awe mbunge wao.
Arusha wanawadharau sana Wasukuma
Muulize Mkeo anamjua vizuri sana tu.Paul Makonda ni nani ?
Nimeliona na Naliona hilo pia Mkuu.Mnyukano wa A town ni mkali sana this time Itatumika pesa ambayo inaweza kuwaacha baadhi ya wagombea kuwa masikini wa kutupwa.
Alikuhakikishia mkiwa Bedroom?Safari hii anatoboa. Shika maneno yangu MAKONDA MBUNGE ARUSHA MJINI
Na hii ndiyo nafasi ambayo ingemfaa na inamfaa mno ila siyo huko katika Ubunge au hata nafasi za Serikalini. Ana mapungufu mengi ya Kimsingi ambayo ameshindwa kuyarekebisha kutokana na Kiburi cha Ukwasi / Utajiri alionao.Anarudi kuwa mwenezi. Makalla amepwaya sana.
Na kitendo cha makonda kwenda bungeni ni tishio zaidi kwenye kinyang'iro cha urais 2030 magenge ya chama hayatakubali kuongeza adui mpya kwenye uchaguzi 2030.Kazi pekee ambayo unaiweza na nashangaa kwanini Mama (Mwenyekiti CCM Taifa) Samia Suluhu Hassan hakuamini nayo ni ya kuwa Mwenezi wa CCM na nina uhakika kuwa hapa ungemsaidia mno na angekuja hata Kukushukuru baadae.
Labda nikusaidie tu kukuambia Makonda kuwa Siku zote Umaarufu wako unatokana na Nguvu ya Serikali hasa pale ukiwa Mkuu wa Mkoa kwakuwa Unaogopwa ila ukitoka tu katika Mfumo huna lolote na haraka mno tu Umaarufu wako nao unashuka na hata kuanza Kusahaulika mapema.
Kwa wenye Akili kubwa tunajua kuwa Mtifuano wako na Mrisho Gambo una Kishindo kikubwa cha Kushindwa huo Ubunge uutakao kwani endapo CCM itakuteua Wewe kugombea Ubunge na kumtema Gambo nina uhakika kwa Hasira Gambo atawahamasisha Wafuasi wake wampigie Kura zote Mpinzani atakayegombea kutoka ama CHADEMA au ACT kwa kile wana Simba SC tunachokiita UBAYA UBWELA na kupelekea Kushindwa Kwako vibaya.
Hakuna Watu WANAFIKI na MAFIA kama wa Arusha Mkoa ambao nimeuishi nikiwa Chalii huku hata Ubatizo wangu nao nikiupatia hapo katika Kanisa Katoliki la Kaloleni.
Yaani Watu wa Arusha waache kuwapa Kura ama Gambo wao au Lema kisha wakupe Wewe Kikaragosi mwenye Dharau, Matukio mabaya ya nyuma na Fisadi? Hizo Fedha zako Watu wa Arusha watazila zote bado katika Uchaguzi wa Ubunge kama ukigombea bado Watakutosa mazima.
Tunza huu Uzi wangu kwani najua hiki nilichokisema / nilichokiandika hapa kitajitokeza Kwako ndipo utajua na kuamini kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ni Habari nyingine kwa Maono na kunusa HATARI zijazo.
You're a damn Fool.Akiingua bungeni akapewa wizara ya ulinzi ndipo utamjua ye nani, ....
Otherwise nakushauri futa huu uzi ....
( NAONA TANZANIA HAPA UMEINGIA JANA KIJANA ILA MAKONDA ACHANA NAE)
Mjuvi @work.comKazi pekee ambayo unaiweza na nashangaa kwanini Mama (Mwenyekiti CCM Taifa) Samia Suluhu Hassan hakuamini nayo ni ya kuwa Mwenezi wa CCM na nina uhakika kuwa hapa ungemsaidia mno na angekuja hata Kukushukuru baadae.
Labda nikusaidie tu kukuambia Makonda kuwa Siku zote Umaarufu wako unatokana na Nguvu ya Serikali hasa pale ukiwa Mkuu wa Mkoa kwakuwa Unaogopwa ila ukitoka tu katika Mfumo huna lolote na haraka mno tu Umaarufu wako nao unashuka na hata kuanza Kusahaulika mapema.
Kwa wenye Akili kubwa tunajua kuwa Mtifuano wako na Mrisho Gambo una Kishindo kikubwa cha Kushindwa huo Ubunge uutakao kwani endapo CCM itakuteua Wewe kugombea Ubunge na kumtema Gambo nina uhakika kwa Hasira Gambo atawahamasisha Wafuasi wake wampigie Kura zote Mpinzani atakayegombea kutoka ama CHADEMA au ACT kwa kile wana Simba SC tunachokiita UBAYA UBWELA na kupelekea Kushindwa Kwako vibaya.
Hakuna Watu WANAFIKI na MAFIA kama wa Arusha Mkoa ambao nimeuishi nikiwa Chalii huku hata Ubatizo wangu nao nikiupatia hapo katika Kanisa Katoliki la Kaloleni.
Yaani Watu wa Arusha waache kuwapa Kura ama Gambo wao au Lema kisha wakupe Wewe Kikaragosi mwenye Dharau, Matukio mabaya ya nyuma na Fisadi? Hizo Fedha zako Watu wa Arusha watazila zote bado katika Uchaguzi wa Ubunge kama ukigombea bado Watakutosa mazima.
Tunza huu Uzi wangu kwani najua hiki nilichokisema / nilichokiandika hapa kitajitokeza Kwako ndipo utajua na kuamini kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ni Habari nyingine kwa Maono na kunusa HATARI zijazo.
- CHAUMA imesahaulika hapa.kutoka ama CHADEMA au ACT kwa kile wana Simba SC tunachokiita UBAYA UBWELA na kupelekea Kushindwa Kwako vibaya.
Chaumma ni mimba iliyoharibika- CHAUMA imesahaulika hapa.
You're a damn Fool.