PreGE2025 Paul Makonda kila Siku mahesabu yako ya kuwania Ubunge unayakosea na kuja Kujutia baadae

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dogo punguza kula ugali usiku akili inasinzia muda wote
 
Sidhan kama watu wa Arusha wanaweza kubali kumchagua msukuma awe mbunge wao.

Arusha wanawadharau sana Wasukuma
Arusha hawana shida.

Hata huyo Gambo, Lema ni wachagga.

Lakini ni wabunge Arusha.
 
Kazi pekee ambayo unaiweza na nashangaa kwanini Mama (Mwenyekiti CCM Taifa) Samia Suluhu Hassan hakuamini nayo ni ya kuwa Mwenezi wa CCM na nina uhakika kuwa hapa ungemsaidia mno na angekuja hata Kukushukuru baadae.

Labda nikusaidie tu kukuambia Makonda kuwa Siku zote Umaarufu wako unatokana na Nguvu ya Serikali hasa pale ukiwa Mkuu wa Mkoa kwakuwa Unaogopwa ila ukitoka tu katika Mfumo huna lolote na haraka mno tu Umaarufu wako nao unashuka na hata kuanza Kusahaulika mapema.

Kwa wenye Akili kubwa tunajua kuwa Mtifuano wako na Mrisho Gambo una Kishindo kikubwa cha Kushindwa huo Ubunge uutakao kwani endapo CCM itakuteua Wewe kugombea Ubunge na kumtema Gambo nina uhakika kwa Hasira Gambo atawahamasisha Wafuasi wake wampigie Kura zote Mpinzani atakayegombea kutoka ama CHADEMA au ACT kwa kile wana Simba SC tunachokiita UBAYA UBWELA na kupelekea Kushindwa Kwako vibaya.

Hakuna Watu WANAFIKI na MAFIA kama wa Arusha Mkoa ambao nimeuishi nikiwa Chalii huku hata Ubatizo wangu nao nikiupatia hapo katika Kanisa Katoliki la Kaloleni.

Yaani Watu wa Arusha waache kuwapa Kura ama Gambo wao au Lema kisha wakupe Wewe Kikaragosi mwenye Dharau, Matukio mabaya ya nyuma na Fisadi? Hizo Fedha zako Watu wa Arusha watazila zote bado katika Uchaguzi wa Ubunge kama ukigombea bado Watakutosa mazima.

Tunza huu Uzi wangu kwani najua hiki nilichokisema / nilichokiandika hapa kitajitokeza Kwako ndipo utajua na kuamini kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ni Habari nyingine kwa Maono na kunusa HATARI zijazo.
Anaamini kwamba akigombea popote atashinda. Makonda na waliomteua wote ni wa jinga tu
 
Ili kubance mambo inabid gambo na makonda watemwe waweke mtu neutral kugombea hapo chamani Arusha
 
Leo hii HAWARA MWANDAMIZI wa Mama yako Mzazi nimekuwa Mkeo?
Ukiachana na mambo mengine Makonda ni yule Mshkaji flani hivi anaejua kucheza na nyakati.

He's a real Hustler! Ukiachana na masuala mengine ambayo huenda pia yanatokana na mifumo lakini jamaa anajua anachokifanya.

Striker atafunga tu kama mshika kibendera hajanyanyua bendera.
 
Kazi pekee ambayo unaiweza na nashangaa kwanini Mama (Mwenyekiti CCM Taifa) Samia Suluhu Hassan hakuamini nayo ni ya kuwa Mwenezi wa CCM na nina uhakika kuwa hapa ungemsaidia mno na angekuja hata Kukushukuru baadae.

Labda nikusaidie tu kukuambia Makonda kuwa Siku zote Umaarufu wako unatokana na Nguvu ya Serikali hasa pale ukiwa Mkuu wa Mkoa kwakuwa Unaogopwa ila ukitoka tu katika Mfumo huna lolote na haraka mno tu Umaarufu wako nao unashuka na hata kuanza Kusahaulika mapema.

Kwa wenye Akili kubwa tunajua kuwa Mtifuano wako na Mrisho Gambo una Kishindo kikubwa cha Kushindwa huo Ubunge uutakao kwani endapo CCM itakuteua Wewe kugombea Ubunge na kumtema Gambo nina uhakika kwa Hasira Gambo atawahamasisha Wafuasi wake wampigie Kura zote Mpinzani atakayegombea kutoka ama CHADEMA au ACT kwa kile wana Simba SC tunachokiita UBAYA UBWELA na kupelekea Kushindwa Kwako vibaya.

Hakuna Watu WANAFIKI na MAFIA kama wa Arusha Mkoa ambao nimeuishi nikiwa Chalii huku hata Ubatizo wangu nao nikiupatia hapo katika Kanisa Katoliki la Kaloleni.

Yaani Watu wa Arusha waache kuwapa Kura ama Gambo wao au Lema kisha wakupe Wewe Kikaragosi mwenye Dharau, Matukio mabaya ya nyuma na Fisadi? Hizo Fedha zako Watu wa Arusha watazila zote bado katika Uchaguzi wa Ubunge kama ukigombea bado Watakutosa mazima.

Tunza huu Uzi wangu kwani najua hiki nilichokisema / nilichokiandika hapa kitajitokeza Kwako ndipo utajua na kuamini kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ni Habari nyingine kwa Maono na kunusa HATARI zijazo.
Huyu jamaa si ndo aliyemzaba vibao Jaji mstaafu warioba. Kitendo cha huyu mtu kupumua kinaonyesha kuwa hatuna Usalama wa Taifa.
 
Muulize Mkeo anamjua vizuri sana tu.
peter elias kapingu.jpg
 
Huyu dogo ni kama waga hajifunzi kutokana na makosa yake au historia yake ya nyuma. Ni binadamu wa aina ya pekee. Kwa yaliyomkuta na kuaminiwa tena angepiga kimya tuu.

Tragedy of miscalculation.

Hesabu zake n kua kama chadema hawatakuepo, basi atapta bla kupingwa
 
Nasijui kwanini haji kugombea nyumbani igoma
Igoma hapa watu hawana time nae...mostly akija ni kujifungia ndan tu nakutoka na gari tinted...ile nabii hakubaliki kwao ndo inatumika sasa
 
anajua hata akishindwa atachaguliwa kuwa kiongozi
 
Kazi pekee ambayo unaiweza na nashangaa kwanini Mama (Mwenyekiti CCM Taifa) Samia Suluhu Hassan hakuamini nayo ni ya kuwa Mwenezi wa CCM na nina uhakika kuwa hapa ungemsaidia mno na angekuja hata Kukushukuru baadae.

Labda nikusaidie tu kukuambia Makonda kuwa Siku zote Umaarufu wako unatokana na Nguvu ya Serikali hasa pale ukiwa Mkuu wa Mkoa kwakuwa Unaogopwa ila ukitoka tu katika Mfumo huna lolote na haraka mno tu Umaarufu wako nao unashuka na hata kuanza Kusahaulika mapema.

Kwa wenye Akili kubwa tunajua kuwa Mtifuano wako na Mrisho Gambo una Kishindo kikubwa cha Kushindwa huo Ubunge uutakao kwani endapo CCM itakuteua Wewe kugombea Ubunge na kumtema Gambo nina uhakika kwa Hasira Gambo atawahamasisha Wafuasi wake wampigie Kura zote Mpinzani atakayegombea kutoka ama CHADEMA au ACT kwa kile wana Simba SC tunachokiita UBAYA UBWELA na kupelekea Kushindwa Kwako vibaya.

Hakuna Watu WANAFIKI na MAFIA kama wa Arusha Mkoa ambao nimeuishi nikiwa Chalii huku hata Ubatizo wangu nao nikiupatia hapo katika Kanisa Katoliki la Kaloleni.

Yaani Watu wa Arusha waache kuwapa Kura ama Gambo wao au Lema kisha wakupe Wewe Kikaragosi mwenye Dharau, Matukio mabaya ya nyuma na Fisadi? Hizo Fedha zako Watu wa Arusha watazila zote bado katika Uchaguzi wa Ubunge kama ukigombea bado Watakutosa mazima.

Tunza huu Uzi wangu kwani najua hiki nilichokisema / nilichokiandika hapa kitajitokeza Kwako ndipo utajua na kuamini kuwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ni Habari nyingine kwa Maono na kunusa HATARI zijazo.
Uchaguzi sio huru na haki, kwahiyo tegemea jamaa kushinda.
 
Back
Top Bottom