Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?

Kuna chawa wengi ila wewe nimekupa jina la Mfalme wa machawa wote, sio kwa sifa hizo unazommwagia mwanamme mwenzako..
 
Hapana, kwa mujibu wa Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.

Ila kama rais atamhitaji mtu yeyote kuwa Waziri, anaweza kumteua wakati wowote kupitia zile nafasi zake 10, hivyo akihitajika atateuliwa Mbunge wa kuteuliwa na sio mbunge wa Kigamboni.

P
 
Nafasi kumi za Rais nahisi zilishakwisha tayari.maana hata majuzi hapo alipoteuliwa waziri wa mambo ya nje ilikuwa ni baada ya kujiuzuru kwa yule mbunge.
 
Je Tulia Ackson alijiuzuru Uspika?
 
Je Tulia Ackson alijiuzuru Uspika?
Ili uwe Rais wa IPU ni sharti uwe mbunge wakati wote wa kutumikia nafasi hiyo.ukishindwa ubunge unakuwa umejikosesha nafasi ya kuendelea na nafasi hiyo ya Urais wa IPU au hata kuomba Uraia huwezi ukaomba ikiwa tu wewe siyo Mbunge.
 
Malkia wa chawa tuliza mzuka ,usijitoe sana ufahamu, CCM hii ina wenyewe na wewe kamwe si mmoja wao wala hawana habari na wewe wanakuona kama sakala tu.
CCM ni mali ya wana CCM na wala siyo Sacco's kama ilivyo CHADEMA
 
CCM ni mali ya wana CCM na wala siyo Sacco's kama ilivyo CHADEMA
Wewe ni kidampa tu ndiyo maana unateseka kutwa kucha humu ili wakuone, huwaoni wenye CCM yao wakifanya huu ujinga unaofanya wewe, wao wanakula kiulani tu keki ya taifa wewe una kazi ya kuwapamba, bora ukose mali lakini upate akili lakini wewe umekosa vyote , utapata tabu sana.
 
Kwani hakuna uchaguzi mpaka huyo Makonda achukue ubunge? Sawa atachukua na wewe utakuwa msaidizi wa mbunge wa kigamboni. Case closed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…