Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Una akili gani wewe shetani?Ungeacha wenye akili Timamu wajadili mada hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili gani wewe shetani?Ungeacha wenye akili Timamu wajadili mada hii
Hili jitu sijui na UWT lilifikajeWewe chawa akili utazipata wapi ukilala ukiamka unamuwaza makonda tu utafikiri ndiye amekuvua ubingwa.
Acha ujinga dogoHili jitu sijui na UWT lilifikaje
Hapana, kwa mujibu wa Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.Ndugu zangu Watanzania,
Sasa ndio nauliza je akijiuzulu ubunge wa kigamboni ,Kuna uwezekano wa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara na kipenzi cha wana Dar es salaam kwenda kuchukua nafasi hiyo ya kuwatumikia wana kigamboni?
Nafasi kumi za Rais nahisi zilishakwisha tayari.maana hata majuzi hapo alipoteuliwa waziri wa mambo ya nje ilikuwa ni baada ya kujiuzuru kwa yule mbunge.Hapana, kwa mujibu wa Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.
Ila kama rais atamhitaji mtu yeyote kuwa Waziri, anaweza kumteua wakati wowote kupitia zile nafasi zake 10, hivyo akihitajika atateuliwa Mbunge wa kuteuliwa na sio mbunge wa Kigamboni.
P
Kama una uwezo nenda na wewe ukagombee jimbo lolote lile utakalo.CCM wazee wa kuigawana Tanganyika.
Mimi ni msema kweli na mzalendo na siyo chawa.Kuna chawa wengi ila wewe nimekupa jina la Mfalme wa machawa wote, sio kwa sifa hizo unazommwagia mwanamme mwenzako..
Huyo ni malkia wa machawa wote.Kuna chawa wengi ila wewe nimekupa jina la Mfalme wa machawa wote, sio kwa sifa hizo.
Acha ujinga dogo.Huyo ni malkia wa machawa wote.
Malkia wa chawa tuliza mzuka ,usijitoe sana ufahamu, CCM hii ina wenyewe na wewe kamwe si mmoja wao wala hawana habari na wewe wanakuona kama sakala tu.Acha ujinga dogo.
Je Tulia Ackson alijiuzuru Uspika?Ndugu zangu Watanzania,
Ni swali tu nauliza kuwa baada ya Mheshimiwa Faustine Ndugulile kuchaguliwa kuwa mkurungenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika,naamini kuwa itambidi Mheshimiwa mbunge atumie busara ya kuachia nafasi ya Ubunge ili atimize vyema majukumu yake ya ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika .
kusudi kutoa utumishi uliotukuka na kukidhi matarajio ya wapiga kura wote waliomuamini pamoja na kulinda heshima ya Tanzania kimataifa kiutumishi. Maana naona itakuwa ngumu sana kutumikia nafasi mbili ya ubunge na ukurugenzi wa WHO kwa wakati mmoja..
Sasa ndio nauliza je akijiuzulu ubunge wa kigamboni ,Kuna uwezekano wa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara na kipenzi cha wana Dar es salaam kwenda kuchukua nafasi hiyo ya kuwatumikia wana kigamboni?
Hamuoni kuwa tunakila Sababu ya kumshawishi Mwamba huyu na jabali la siasa na mtu ambaye amekuwa msikivu kwa watu kwenda kugombea katika jimbo hili? Hamuoni kuwa ni wakati wa Mwamba kuingia Bungeni na kama ikimpendeza Mheshimiwa Rais amteue Uwaziri?
Mnafikiri ni kwa kiasi gani wizara hiyo inaweza kufanya vizuri na kugusa watu mpaka wakabubujikwa na machozi ya furaha endapo Mwamba atakuwa waziri wa wizara yoyote ile? Kwanini tusimuunge mkono Mwamba huyu asiye na makuu ili aingie Bungeni wakati huu ambao tunahitaji miamba aina ya Mheshimiwa Makonda kutua kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima ndani ya Bunge letu?
Ninyi wenyewe si mnafahamu uchapakazi wa huyu Mwamba? Si mnafahamu alivyo mfuatiliaji wa mambo na Masuala mbalimbali katika maeneo yake ya kikazi? Hamuoni sauti hii ya Simba na mamlaka ni wakati sahihi wa kuunguruma na kusikika Bungeni? Si mnakumbuka namna alivyo tikisa wakati wa bunge la katiba mpaka kutoa utabiri kwa Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan?
Soma Pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ili uwe Rais wa IPU ni sharti uwe mbunge wakati wote wa kutumikia nafasi hiyo.ukishindwa ubunge unakuwa umejikosesha nafasi ya kuendelea na nafasi hiyo ya Urais wa IPU au hata kuomba Uraia huwezi ukaomba ikiwa tu wewe siyo Mbunge.Je Tulia Ackson alijiuzuru Uspika?
CCM ni mali ya wana CCM na wala siyo Sacco's kama ilivyo CHADEMAMalkia wa chawa tuliza mzuka ,usijitoe sana ufahamu, CCM hii ina wenyewe na wewe kamwe si mmoja wao wala hawana habari na wewe wanakuona kama sakala tu.
Wewe ni kidampa tu ndiyo maana unateseka kutwa kucha humu ili wakuone, huwaoni wenye CCM yao wakifanya huu ujinga unaofanya wewe, wao wanakula kiulani tu keki ya taifa wewe una kazi ya kuwapamba, bora ukose mali lakini upate akili lakini wewe umekosa vyote , utapata tabu sana.CCM ni mali ya wana CCM na wala siyo Sacco's kama ilivyo CHADEMA
Kwani hakuna uchaguzi mpaka huyo Makonda achukue ubunge? Sawa atachukua na wewe utakuwa msaidizi wa mbunge wa kigamboni. Case closedNdugu zangu Watanzania,
Ni swali tu nauliza kuwa baada ya Mheshimiwa Faustine Ndugulile kuchaguliwa kuwa mkurungenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika,naamini kuwa itambidi Mheshimiwa mbunge atumie busara ya kuachia nafasi ya Ubunge ili atimize vyema majukumu yake ya ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika .
kusudi kutoa utumishi uliotukuka na kukidhi matarajio ya wapiga kura wote waliomuamini pamoja na kulinda heshima ya Tanzania kimataifa kiutumishi. Maana naona itakuwa ngumu sana kutumikia nafasi mbili ya ubunge na ukurugenzi wa WHO kwa wakati mmoja..
Sasa ndio nauliza je akijiuzulu ubunge wa kigamboni ,Kuna uwezekano wa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara na kipenzi cha wana Dar es salaam kwenda kuchukua nafasi hiyo ya kuwatumikia wana kigamboni?
Hamuoni kuwa tunakila Sababu ya kumshawishi Mwamba huyu na jabali la siasa na mtu ambaye amekuwa msikivu kwa watu kwenda kugombea katika jimbo hili? Hamuoni kuwa ni wakati wa Mwamba kuingia Bungeni na kama ikimpendeza Mheshimiwa Rais amteue Uwaziri?
Mnafikiri ni kwa kiasi gani wizara hiyo inaweza kufanya vizuri na kugusa watu mpaka wakabubujikwa na machozi ya furaha endapo Mwamba atakuwa waziri wa wizara yoyote ile? Kwanini tusimuunge mkono Mwamba huyu asiye na makuu ili aingie Bungeni wakati huu ambao tunahitaji miamba aina ya Mheshimiwa Makonda kutua kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima ndani ya Bunge letu?
Ninyi wenyewe si mnafahamu uchapakazi wa huyu Mwamba? Si mnafahamu alivyo mfuatiliaji wa mambo na Masuala mbalimbali katika maeneo yake ya kikazi? Hamuoni sauti hii ya Simba na mamlaka ni wakati sahihi wa kuunguruma na kusikika Bungeni? Si mnakumbuka namna alivyo tikisa wakati wa bunge la katiba mpaka kutoa utabiri kwa Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan?
Soma Pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nani kakwambia nataka usaidizi wa MbungeKwani hakuna uchaguzi mpaka huyo Makonda achukue ubunge? Sawa atachukua na wewe utakuwa msaidizi wa mbunge wa kigamboni. Case closed
Kwani wanaoteuliwa wanatangaza kutaka vyeo? Nipe tangazo lolote linaloonyesha aliyeteuliwa alitaka cheo alichopatiwaNani kakwambia nataka usaidizi wa Mbunge
Mimi nimesema sihitaji usaidizi wa MbungeKwani wanaoteuliwa wanatangaza kutaka vyeo? Nipe tangazo lolote linaloonyesha aliyeteuliwa alitaka cheo alichopatiwa