Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?

Kuna chawa wengi ila wewe nimekupa jina la Mfalme wa machawa wote, sio kwa sifa hizo unazommwagia mwanamme mwenzako..
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sasa ndio nauliza je akijiuzulu ubunge wa kigamboni ,Kuna uwezekano wa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara na kipenzi cha wana Dar es salaam kwenda kuchukua nafasi hiyo ya kuwatumikia wana kigamboni?
Hapana, kwa mujibu wa Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.

Ila kama rais atamhitaji mtu yeyote kuwa Waziri, anaweza kumteua wakati wowote kupitia zile nafasi zake 10, hivyo akihitajika atateuliwa Mbunge wa kuteuliwa na sio mbunge wa Kigamboni.

P
 
Nafasi kumi za Rais nahisi zilishakwisha tayari.maana hata majuzi hapo alipoteuliwa waziri wa mambo ya nje ilikuwa ni baada ya kujiuzuru kwa yule mbunge.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni swali tu nauliza kuwa baada ya Mheshimiwa Faustine Ndugulile kuchaguliwa kuwa mkurungenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika,naamini kuwa itambidi Mheshimiwa mbunge atumie busara ya kuachia nafasi ya Ubunge ili atimize vyema majukumu yake ya ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika .

kusudi kutoa utumishi uliotukuka na kukidhi matarajio ya wapiga kura wote waliomuamini pamoja na kulinda heshima ya Tanzania kimataifa kiutumishi. Maana naona itakuwa ngumu sana kutumikia nafasi mbili ya ubunge na ukurugenzi wa WHO kwa wakati mmoja..

Sasa ndio nauliza je akijiuzulu ubunge wa kigamboni ,Kuna uwezekano wa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara na kipenzi cha wana Dar es salaam kwenda kuchukua nafasi hiyo ya kuwatumikia wana kigamboni?

Hamuoni kuwa tunakila Sababu ya kumshawishi Mwamba huyu na jabali la siasa na mtu ambaye amekuwa msikivu kwa watu kwenda kugombea katika jimbo hili? Hamuoni kuwa ni wakati wa Mwamba kuingia Bungeni na kama ikimpendeza Mheshimiwa Rais amteue Uwaziri?

Mnafikiri ni kwa kiasi gani wizara hiyo inaweza kufanya vizuri na kugusa watu mpaka wakabubujikwa na machozi ya furaha endapo Mwamba atakuwa waziri wa wizara yoyote ile? Kwanini tusimuunge mkono Mwamba huyu asiye na makuu ili aingie Bungeni wakati huu ambao tunahitaji miamba aina ya Mheshimiwa Makonda kutua kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima ndani ya Bunge letu?

Ninyi wenyewe si mnafahamu uchapakazi wa huyu Mwamba? Si mnafahamu alivyo mfuatiliaji wa mambo na Masuala mbalimbali katika maeneo yake ya kikazi? Hamuoni sauti hii ya Simba na mamlaka ni wakati sahihi wa kuunguruma na kusikika Bungeni? Si mnakumbuka namna alivyo tikisa wakati wa bunge la katiba mpaka kutoa utabiri kwa Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan?

Soma Pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Je Tulia Ackson alijiuzuru Uspika?
 
Je Tulia Ackson alijiuzuru Uspika?
Ili uwe Rais wa IPU ni sharti uwe mbunge wakati wote wa kutumikia nafasi hiyo.ukishindwa ubunge unakuwa umejikosesha nafasi ya kuendelea na nafasi hiyo ya Urais wa IPU au hata kuomba Uraia huwezi ukaomba ikiwa tu wewe siyo Mbunge.
 
CCM ni mali ya wana CCM na wala siyo Sacco's kama ilivyo CHADEMA
Wewe ni kidampa tu ndiyo maana unateseka kutwa kucha humu ili wakuone, huwaoni wenye CCM yao wakifanya huu ujinga unaofanya wewe, wao wanakula kiulani tu keki ya taifa wewe una kazi ya kuwapamba, bora ukose mali lakini upate akili lakini wewe umekosa vyote , utapata tabu sana.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni swali tu nauliza kuwa baada ya Mheshimiwa Faustine Ndugulile kuchaguliwa kuwa mkurungenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika,naamini kuwa itambidi Mheshimiwa mbunge atumie busara ya kuachia nafasi ya Ubunge ili atimize vyema majukumu yake ya ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika .

kusudi kutoa utumishi uliotukuka na kukidhi matarajio ya wapiga kura wote waliomuamini pamoja na kulinda heshima ya Tanzania kimataifa kiutumishi. Maana naona itakuwa ngumu sana kutumikia nafasi mbili ya ubunge na ukurugenzi wa WHO kwa wakati mmoja..

Sasa ndio nauliza je akijiuzulu ubunge wa kigamboni ,Kuna uwezekano wa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara na kipenzi cha wana Dar es salaam kwenda kuchukua nafasi hiyo ya kuwatumikia wana kigamboni?

Hamuoni kuwa tunakila Sababu ya kumshawishi Mwamba huyu na jabali la siasa na mtu ambaye amekuwa msikivu kwa watu kwenda kugombea katika jimbo hili? Hamuoni kuwa ni wakati wa Mwamba kuingia Bungeni na kama ikimpendeza Mheshimiwa Rais amteue Uwaziri?

Mnafikiri ni kwa kiasi gani wizara hiyo inaweza kufanya vizuri na kugusa watu mpaka wakabubujikwa na machozi ya furaha endapo Mwamba atakuwa waziri wa wizara yoyote ile? Kwanini tusimuunge mkono Mwamba huyu asiye na makuu ili aingie Bungeni wakati huu ambao tunahitaji miamba aina ya Mheshimiwa Makonda kutua kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima ndani ya Bunge letu?

Ninyi wenyewe si mnafahamu uchapakazi wa huyu Mwamba? Si mnafahamu alivyo mfuatiliaji wa mambo na Masuala mbalimbali katika maeneo yake ya kikazi? Hamuoni sauti hii ya Simba na mamlaka ni wakati sahihi wa kuunguruma na kusikika Bungeni? Si mnakumbuka namna alivyo tikisa wakati wa bunge la katiba mpaka kutoa utabiri kwa Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan?

Soma Pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani hakuna uchaguzi mpaka huyo Makonda achukue ubunge? Sawa atachukua na wewe utakuwa msaidizi wa mbunge wa kigamboni. Case closed
 
Back
Top Bottom