Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?

Ndugu zangu Watanzania,

Ni swali tu nauliza kuwa baada ya Mheshimiwa Faustine Ndugulile kuchaguliwa kuwa mkurungenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika,naamini kuwa itambidi Mheshimiwa mbunge atumie busara ya kuachia nafasi ya Ubunge ili atimize vyema majukumu yake ya ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika .

kusudi kutoa utumishi uliotukuka na kukidhi matarajio ya wapiga kura wote waliomuamini pamoja na kulinda heshima ya Tanzania kimataifa kiutumishi. Maana naona itakuwa ngumu sana kutumikia nafasi mbili ya ubunge na ukurugenzi wa WHO kwa wakati mmoja..

Sasa ndio nauliza je akijiuzulu ubunge wa kigamboni ,Kuna uwezekano wa Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara na kipenzi cha wana Dar es salaam kwenda kuchukua nafasi hiyo ya kuwatumikia wana kigamboni?

Hamuoni kuwa tunakila Sababu ya kumshawishi Mwamba huyu na jabali la siasa na mtu ambaye amekuwa msikivu kwa watu kwenda kugombea katika jimbo hili? Hamuoni kuwa ni wakati wa Mwamba kuingia Bungeni na kama ikimpendeza Mheshimiwa Rais amteue Uwaziri?

Mnafikiri ni kwa kiasi gani wizara hiyo inaweza kufanya vizuri na kugusa watu mpaka wakabubujikwa na machozi ya furaha endapo Mwamba atakuwa waziri wa wizara yoyote ile? Kwanini tusimuunge mkono Mwamba huyu asiye na makuu ili aingie Bungeni wakati huu ambao tunahitaji miamba aina ya Mheshimiwa Makonda kutua kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima ndani ya Bunge letu?

Ninyi wenyewe si mnafahamu uchapakazi wa huyu Mwamba? Si mnafahamu alivyo mfuatiliaji wa mambo na Masuala mbalimbali katika maeneo yake ya kikazi? Hamuoni sauti hii ya Simba na mamlaka ni wakati sahihi wa kuunguruma na kusikika Bungeni? Si mnakumbuka namna alivyo tikisa wakati wa bunge la katiba mpaka kutoa utabiri kwa Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan?

Soma Pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mtoeni Chugga haraka after all hana furaha huko mbali na vyombo vikuu vya habari.
 
mavi
 
Jimbo la Kigamboni nakwenda kulichukua mimi, Makonda asubiri Jimbo la Nyamagana 2025
 
Hahahahaha, fukara hawezi kuwaza hivyo...mie nilijua anataka yy jimbo, kumbe bado ananyenyekea watu
Huyo anadhani umaskini wake utaisha kwa kulamba miguu ya watawala. Watoto wa akina Kikwete na watawala wanaoishi kwa kodi za wananchi ndio walitakiwa wawe wasifiaji wakubwa sababu ni wanufaika lakini ni tofauti, hukuti hata kwenye kurasa zao za mitandao wakisifia chama wala serikali. Huyo mshamba njaa inamsumbua na anatafuta kula kwa njia ya mkato.
 
Back
Top Bottom