Kwamba leo hii Amos Makalla atoe taarifa kwamba vijana watano waliopotea katika mazingira ya kutatanisha watapatikana siku fulani na sio jeshi la polisi?Unajua mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoani kwake?
Kwa nini unatukana wenzio kha? Pumbavu shoga aaahh Juu ya nini? Bashiteeee tu ndio matusi meeengi... Polepole ndugu tutafika wote wengine wanatangulia wengine wanachelewa...Tukae kimya kwani Jamii Forums iliwekwa ili tukae kimya? Pumbavu!!!
Uzuri wa jinai haihitaji mhusika tu ndo afungue kesi bali jinai inafunguliwa na Jamhuri kwa niaba ya mlalamikaji ama mlalamikaji anaweza kuwa mtu yeyote katika jamii kama alivyofanya Kubenea.Ni kweli huenda wote tuliona hiyo video lakini kwanini uumie wewe zaidi?
Kwanini uwashinde maumivu clouds ambao wao wametamka wazi hawana nia ya kufungua kesi?
Mimi situkani mtu, bali natukana hoja dhaifu. Na hilo sitabadilika.Kwa nini unatukana wenzio kha? Pumbavu shoga aaahh Juu ya nini? Bashiteeee tu ndio matusi meeengi... Polepole ndugu tutafika wote wengine wanatangulia wengine wanachelewa...
Hapa unajaribu kuwapangia police cha kufanya!Ambae anajua fulani atapatikana lini hadi saa?
Jeshi la polisi lina taratibu zake na lina msemaji wake kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi kitaifa. Na ndilo linalohisika na uchunguzi na kutoa taarifa sio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Wakiniona kilaza sitochubuka!Kwamba leo hii Amos Makalla atoe taarifa kwamba vijana watano waliopotea katika mazingira ya kutatanisha watapatikana siku fulani na sio jeshi la polisi?
Unapoongea baadhi ya vitu uwe na soni maana humu kuna watu na nyadhifa zao wanakusoma unaweza kuonekana kilaza hata kama hufahamiki uhalisia wako humu.
Hii kesi imefunguliwa na jamhuri?Uzuri wa jinai haihitaji mhusika tu ndo afungue kesi bali jinai inafunguliwa na Jamhuri kwa niaba ya mlalamikaji ama mlalamikaji anaweza kuwa mtu yeyote katika jamii kama alivyofanya Kubenea.
Ndiyo maana kisheria jinai haifi milele hadi mtenda jinai labda afe kabla ya kushtakiwa. Mahakama ina uwezo wa kuilazimisha clouds kupeleka ushahidi mahakamani kwa maslahi ya taifa maana kama ni madhara kutokea basi ni dhidi ya Jamhuri na sio individual.
Kwamba hili limeanza kwa makonda?Hata kama mahakama ikimwona hana hatia lakini kutakuwa na funzo kwa watu wanaopewa madaraka na vyeo. Kwamba sheria ipo juu ya kila mtu bila kujali cheo chake. Na ile tu kufikiria kuwa mtu atashitakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani itapunguza au itaondoa watu kutumia madaraka vibaya.
Hata wewe ukitapeliwa anahaki ya kufungua kesiHivi hizi mahakama zina muda wa kuchezea wakati wana backlog ya mahabusu kibao wanaosubiri kufikishwa mahakamani kupata haki zao.
Tangia lini raia anaweza fungua kesi ya jinai; ni serikali ndio inaweza fungua kesi ya jinai.
Hii nchi sasa inaenda kuwa ya kipuuzi inaendeshwa ovyo kuliko banana republic.
Makonda pamoja na mapungufu yake ni serikali inaweza mfungulia mashtaka ya jinai. Clouds na wahanga wengine wanaweza fungua civil case.
Lakini mtu kama Kubenea sio serikali wala hana relation ya case za Clouds kuweza kumfungulia case yoyote Makonda.
Hizi siasa za uchawa na majungu zinaaribu taratibu za mambo yanavyotakiwa kufanyika.
Wenye mamlaka na haki ya kumfungulia Makonda case sawa; lakini pale serikali, mahakama na bunge inapo entertain mambo ya kipuuzi kama haya inakera kweli.
Kubenea anafungua kesi kwa misingi ipi.
Kwakweli mahakama inaanza kuonekana sehemu ya kipuuzi.Imekua kama fasheni sasa kwa wanasiasa walio nje ya ulingo kuitumia mahakama kama daraja la kuwarejesha kwenye umaarufu wao.
Kesi ya Mbatia na hii ya Kubenea zote zinafanana kwa maana kwamba hazina tija yeyote.
Mahakama ilinde heshima yake kwa kufutilia mbali kesi za aina hii zenye harufu ya kisiasa na zinazotumika kuwapa umaarufu wanasiasa.
Wewe unadhani hii kesi ni ya kubenea[emoji3][emoji3][emoji3]Hivi hizi mahakama zina muda wa kuchezea wakati wana backlog ya mahabusu kibao wanaosubiri kufikishwa mahakamani kupata haki zao.
Tangia lini raia anaweza fungua kesi ya jinai; ni serikali ndio inaweza fungua kesi ya jinai.
Hii nchi sasa inaenda kuwa ya kipuuzi inaendeshwa ovyo kuliko banana republic.
Makonda pamoja na mapungufu yake ni serikali inaweza mfungulia mashtaka ya jinai. Clouds na wahanga wengine wanaweza fungua civil case.
Lakini mtu kama Kubenea sio serikali wala hana relation ya case za Clouds kuweza kumfungulia case yoyote Makonda.
Hizi siasa za uchawa na majungu zinaaribu taratibu za mambo yanavyotakiwa kufanyika.
Wenye mamlaka na haki ya kumfungulia Makonda case sawa; lakini pale serikali, mahakama na bunge inapo entertain mambo ya kipuuzi kama haya inakera kweli.
Kubenea anafungua kesi kwa misingi ipi.
Civil case only kudai hasara ya utapeli sio criminal offence ya kutaka jamaa aende jela ilo inabidi niende polisi walichukue.Hata wewe ukitapeliwa anahaki ya kufungua kesi
Imefunguliwa na yeye the mere fact mahakama inaweza poteza muda ku entertain ujinga kama huo ni kujishushia hadhi.Wewe unadhani hii kesi ni ya kubenea[emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe ndo ulihusika na hayo yote so usisumbue watuPia tunaomba ajibu haya
1. Nani alimuua Ben, Azory, Mawazo Lwajabe.
2. Nani alimteka, Roma, Nondo, Mo,
3. Waliookotwa kwenye viroba ufukweni walikuwa akina nani
Kumbukeni huyu ndiye aliyekuwa anatoa taarifa kuwa Fulani atapatikana siku Fulani.
Laiti ungejipa muda wa kutafakari kidogo hatua hii ya mahakama kuruhusu kesi hii ungejiuliza ni kina nani wapo nyuma ya kubenea huenda uka-mute TU!Siumii kwa lolote bali nawashangaa ninyi kwa kumsakama mtu ambaye hana madhara. Kiukweli, mnamkubali Makonda alikuwa JEMBE NA HAMTAMUWEZA!