Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!
 
𝑲𝒘𝒂 𝒂𝒋𝒊𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒘𝒆𝒌𝒂 𝒌𝒖𝒎𝒃𝒖𝒌𝒖𝒎𝒃𝒖 𝒔𝒂𝒘𝒂 𝒉𝒖𝒚𝒖 𝒔𝒊
𝑴𝑲𝑼𝑼 𝑾𝑨 𝑴𝑲𝑶𝑨 𝑴𝑺𝑻𝑨𝑨𝑭𝑼.

𝑯𝒖𝒚𝒖 𝒏𝒊 𝒎𝒌𝒖𝒖 𝒘𝒂 𝒎𝒌𝒐𝒂 𝑨𝑳𝑰𝑬𝑭𝑼𝑹𝑼𝑴𝑼𝑺𝑯𝑾𝑨 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒖𝒌𝒖𝒖 𝒘𝒂 𝒎𝒌𝒐𝒂
 
𝑲𝒘𝒂 𝒂𝒋𝒊𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒘𝒆𝒌𝒂 𝒌𝒖𝒎𝒃𝒖𝒌𝒖𝒎𝒃𝒖 𝒔𝒂𝒘𝒂 𝒉𝒖𝒚𝒖 𝒔𝒊
𝑴𝑲𝑼𝑼 𝑾𝑨 𝑴𝑲𝑶𝑨 𝑴𝑺𝑻𝑨𝑨𝑭𝑼.

𝑯𝒖𝒚𝒖 𝒏𝒊 𝒎𝒌𝒖𝒖 𝒘𝒂 𝒎𝒌𝒐𝒂 𝑨𝑳𝑰𝑬𝑭𝑼𝑹𝑼𝑴𝑼𝑺𝑯𝑾𝑨 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒖𝒌𝒖𝒖 𝒘𝒂 𝒎𝒌𝒐𝒂
Mkuu wa mkoa mshamba , mwenye tamaa na sifa za kijinga kuliko wakuu wote waliowahi kupasha hicho kiti joto!!
 
This is too much exaggeration. Kuhudhuriwa na kila Mtumishi? Ina maana ofisi zoote kufungwa kuanzia bandari, Tanesco, wizara zoote, nk na woote watahudhuria mkutano!!? Hata mkutano wa rais haujawahi kuwa hivyo. Watumishi wanaohudhuria mikutano hawawezi kufika hata nusu.

Wengine lazima wabaki ili mambo yaende. Punguza ushabiki dada usio na maana. Usemacho ni kinyume na logic
 
Back
Top Bottom