Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Utumishi wa umma! Halafu mtu anaongoza kwa ku-enjoy maisha.
 
Tanzania haiwezi kusimama Kwa ajiri ya mtu mmoja pekee, hata Akiwa maarufu kuliko Dunia yote, lazima Tanzania isonge
 
Kama kuna mwana usalama aliingia kichwani kwake kumwambia Mzee amemaua aache uRc akagombee ccm amemuweza sana

Aliambiwa akisimama jimbo lolote Tz anachukua asubuhi tu na mapema. Kumbe tu hata ndani ya chama chake hana ushawishi. Ndio seuse avumilie mikiki ya jukwaani na kampeni za bongo hizi maji taka! He is a lose canon! Itakuwa disaster....
 
Ile ofisi ni nzuri bwana, kiti na meza ya boss na meza ya mikutano pembeni. Ukutani Kuna urembo wa vipande vya magoti. Acha apple screens.

Tutashuhudia vijito vya maji tena vikitiririka toka machoni hadi mashavuni wakati wa kukabidhi hiyo ofisi.
 
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa Dsm Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!
Makonda alistaafu lini ukuu wa mkoa?

Sema mkuu wa mkoa mtumbuliwa.... ebo!
 
Aliambiwa akisimama jimbo lolote Tz anachukua asubuhi tu na mapema. Kumbe tu hata ndani ya chama chake hana ushawishi. Ndio seuse avumilie mikiki ya jukwaani na kampeni za bongo hizi maji taka! He is a lose canon! Itakuwa disaster....
Ni funzo tosha kwenye maisha
ndio maana mimi siamini sana kwenye Mambo ya vijana kupewa nafasi kubwa za uongozi wanajisahau sana!
 
This is too much exaggeration. Kuhudhuriwa na kila Mtumishi? Ina maana ofisi zoote kufungwa kuanzia bandari, Tanesco, wizara zoote, nk na woote watahudhuria mkutano!!? Hata mkutano wa rais haujawahi kuwa hivyo. Watumishi wanaohudhuria mikutano hawawezi kufika hata nusu.

Wengine lazima wabaki ili mambo yaende. Punguza ushabiki dada usio na maana. Usemacho ni kinyume na logic
Nadhani uelewa ndio tatizo.
Hapo amemaanisha watumishi wa ofis husika.
Kwanza Bandari au osifi zingine ulizozitaja haviko chini ya TAMISEMI na havina undugu na ofisi ya RC.
Mimi niko ofisi moja hapa Dar es salaam huu ni mwaka wa 5 sijawahi kuhusiana hata kwa jambo moja na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar au wilaya yoyote ya mkoa huu.
Hebu msikoment kwa jazba
 
'Maisha siyo hivi hivi, lazima utoke "down" mpaka juu...' Kamwe, usiombe kukutana na huu msiba wa fikra maishani mwako.
 
Back
Top Bottom