johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee, kwa hakika tunamtakia la kheri yule anayeingia. Lakini anayetoka, mmmhhhh, tunampotezea![emoji849] [emoji849][emoji849]
Mkuu wa mkoa mshamba , mwenye tamaa na sifa za kijinga kuliko wakuu wote waliowahi kupasha hicho kiti joto!!𝑲𝒘𝒂 𝒂𝒋𝒊𝒍𝒊 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒘𝒆𝒌𝒂 𝒌𝒖𝒎𝒃𝒖𝒌𝒖𝒎𝒃𝒖 𝒔𝒂𝒘𝒂 𝒉𝒖𝒚𝒖 𝒔𝒊
𝑴𝑲𝑼𝑼 𝑾𝑨 𝑴𝑲𝑶𝑨 𝑴𝑺𝑻𝑨𝑨𝑭𝑼.
𝑯𝒖𝒚𝒖 𝒏𝒊 𝒎𝒌𝒖𝒖 𝒘𝒂 𝒎𝒌𝒐𝒂 𝑨𝑳𝑰𝑬𝑭𝑼𝑹𝑼𝑴𝑼𝑺𝑯𝑾𝑨 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒖𝒌𝒖𝒖 𝒘𝒂 𝒎𝒌𝒐𝒂
Na asije mjini kama hajaoga.Kwa Sasa hana kz Dar ni mzururaji anatakiwa arudi kijijininhadi hapo atakapopangiwa
Lazima ahakikishe ameoga amepaka Rays na kuchana nywele vizuri kwa heshma na tutamkagua na achomekee kabla hajafika huku mjini! Makonda alidhani sote tuna bomba la maji ya mvua majumbani!!Kwa Sasa hana kz Dar ni mzururaji anatakiwa arudi kijijininhadi hapo atakapopangiwa
Mambo ya GSM hayo,enzi zile Masha alivyopigwa chini kwa hasira alienda ofisini kwake akang'oa mpk Vitasa alivyoviweka yeye.Du ile ofisi ilitengenezwa kwa gharama kubwa kabla Makonda hajaanza kuitumia.
Du ile ofisi ilitengenezwa kwa gharama kubwa kabla Makonda hajaanza kuitumia.