MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Nashauri huyo mkuu wa mkoa yupi atafute biongozi wa dini wafanyie sala hiyo ofisi kabda hajaingi huko kuanza kaziNdivyo ilivyo.
Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.
Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.
Maendeleo hayana vyama!
Ulitaka isitengenezwe ?,angekuwa kafika asingeachia ofisi ,huyo safari yake ni jumba kuu ,hutaki achaDu ile ofisi ilitengenezwa kwa gharama kubwa kabla Makonda hajaanza kuitumia.
Nashauri huyo mkuu wa mkoa yupi atafute biongozi wa dini wafanyie sala hiyo ofisi kabda hajaingi huko kuanza kaziNdivyo ilivyo.
Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.
Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.
Maendeleo hayana vyama!
Nashauri huyo mkuu wa mkoa yupi atafute biongozi wa dini wafanyie sala hiyo ofisi kabda hajaingia huko kuanza kaziNdivyo ilivyo.
Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.
Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.
Maendeleo hayana vyama!
Ndivyo ilivyo.

Ataenda Kigamboni kwenye jimbo lakeIle migari iliyokuwa akiifunga plate number za RC nayo ataikabidhi au ni yake binafsi?na akihama pale masaki wapi ataelekea kwa sasa? Maisha yanaenda kasi sana
Midhali ni ofisi ya serikali haina neno ni kupokezana vijitiDu ile ofisi ilitengenezwa kwa gharama kubwa kabla Makonda hajaanza kuitumia.
AiseeeeeAkimaliza kukabidhi ofisi, atafute kazi nyingine ya kufanya Dar haraka sana au arudi kwao Koromije, maana jiji la Dar hatutaki wazururaji wasiokuwa na kazi maalum.
π²ππ πππππ ππ ππππππ ππππππππππ ππππ ππππ ππ
π΄π²πΌπΌ πΎπ¨ π΄π²πΆπ¨ π΄πΊπ»π¨π¨ππΌ.
π―πππ ππ ππππ ππ ππππ π¨π³π°π¬ππΌπΉπΌπ΄πΌπΊπ―πΎπ¨ ππππππ ππππ ππ ππππ
anaweza kuondoka na fenicha zake
Tatizo ni kuamini kwamba "mtu" umetumia nguvu na uwezo wako binafsi kutengeneza ofisi isiyo yako binafsi... bado ukajisahaulisha kwamba yale "mamlaka" ili utumike kwayo "walikufanzia" ili "uwafanzishie yao!!" Sasa huku mtaani utazijua rangi zao... Waliokuomba utawabembeleza!! Uliowafokea watakupiga!! Uliowasaidia watakudharau...Kila nikifikiria huwaga ninalia, inaniuma sana. Daud daud kuna mtu anakuita!!
hahaha!! Kwa serikali hii asahau akijaribu tutamsahau maana Bwana Mkubwa HAJARIBIWI!!anaweza kuondoka na fenicha zake
Wekeni akiba ya maneno ili msijepatwa na kiharusi pale mtapoona makonda anatumikia nafasi kubwa zaidi ya u RC mapema baada ya October. Nawatahadharisha!
hilo hatuna tatizo nalo ruksa kikatiba hata akipewa unaibu waziri mkuu!.
muhimu ujumbe umewafikia (mteuaji & mteuliwaji) kwamba jamaa hakubaliki kwa kukataliwa kwenye kura za wazi kbs!.