Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

[*Florah Mbasha* [emoji443][emoji443][emoji443]Jipe moyo[emoji443][emoji443][emoji443]]
 

Attachments

  • IMG-20200722-WA0028.jpg
    IMG-20200722-WA0028.jpg
    25.1 KB · Views: 1
Kwa Sasa hana kz Dar ni mzururaji anatakiwa arudi kijijininhadi hapo atakapopangiwa
"Kwenye mkoa wangu sitaki wazururaji"
Leo naye kawa mzururaji?!?!
Dah! Kweli maisha kama.gwaride, nyuma geuka wa kwanza anakuwa wa mwisho!!!!
 
Mbona imemchukua muda mrefu sana kukabidhi Ofisi?
Alikuwa kwenye maombolezo, madaraka matamu asikudanganye mtu. Jiwe mwenyewe huwa anasema angejua kazi ya urais nin ngumu kiasi hicho asingegombea, lakini bado yupo na amegombea tena na atakuwepo.
 
Atampigia kampeni Babu Tale ili amharibie, atazomewa ile laana!
 
Mkuu wa mkoa alie tumbuliwa kwa tamaa ya vyeo vidogo vidogo.

Mtafutieni kazi ya kufanya DSM alipiga mwenyewe marufuku wazurulaji wasio na kazi, inabidi na yeye wampeleke akalime mashamba ya Magereza kipindi anatafutiwa kazi ya kufanya
 
Sasa na wewe unamuuliza nani? Weww ndio unasema umemuona kigamboni anakula akiwa na walinzi, sasa hili anakula mgahawani unamuuliza nani?
Makonda bado analindwa sana nimemuona anakula uku KIGAMBONI walinzi wale anawalipa nini na anakula KIGAMBONI mgahawani?
 
bila picha za ile ofisi ya kifahari thread hainogi

Lemutuz ajiandae kumbembeleza
 
Hivi anatazamanaje na mke wake huko ndani!??
What a waste..!?
 
Wekeni akiba ya maneno ili msijepatwa na kiharusi pale mtapoona makonda anatumikia nafasi kubwa zaidi ya u RC mapema baada ya October. Nawatahadharisha!
Hata akiwa RAIS wa chato hamna shida...

Ila tambueni tu jamaa ni hewa tupu. Zeroo typical of brain.
 
Ungerekebisha heading kidogo hapo badal ya mkuu wa mkoa mstaafu iwe mkuu wa mkoa mwenye tamaa ya madaraka over.
 
Back
Top Bottom