Paul Makonda kumjengea nyumba bibi anayenyanyaswa na Familia yake kisa hana Mtoto

jibu Hoja,huyo Bibi akijengewa nyumba inakuwa yako?MACHOKO hamuwezi kwisha Nchi hii
 
Vitu vya kawaida hivyo kwa kiongozi.
Lucas kama nawe unahitaji kujengewa nyumba ya vyumba viwili karibu PM.

Una kiwanja lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…