Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Kwahyo mashoga wanataka wamle Jicho au.!???

InFact makonda ni kama anavuna alichopanda,,, japo kumuua haijakaa poa sana....anatafuta huruma ya wananchi....

Kingine pia huenda ni mpango wa kumtokomeza JK.... Naona mashambulizi yamekuwa makali sanaa.... Hizi blame zote soon ataanza kusukumiwa JK ili asiaminike tena...

Mawazo tu.... Hii nchi sio ya kuiamini saaaaaana...
 
 

ukiitwa utoe ushahidi utatoa
 
makonda humu ndani ya jf wengi ni mazezeta wa mbowe ukiona tusi au wanakusema vibaya usilifuatilie ni chadema waliokosa kura za ubunge na wenye viti bado wanahasira
 
Kweli"ole wake amtegemeaye mwanadamu" mtaumia sana na hatorudi kamwe zaidi ya kumfuata maana njia yetu ni moja
 
Kama kuna kosa watu wafikishe malalamiko yao mahakamani ila sio kutafutana mtaani..
 
Makonda pole sana kwani sio makosa yako ila aliyekupa ile nafasi.
Mbona kipindi cha JK hukutenda mabaya ktk utendaji wako.
Haya makundi uliyoyataja sio kuyaogopa sana ila kundi la kuliogopa sana ni hili Ndugu yangu.

1- Makonda kama ulikuwa ktk ule mpango wa kupigwa Risasi Lissu na Benny Sanane huwezi kuwa salama kwani hawa ulioshirikiana nao hawezi kukuacha kumbuka siku mambo yakavyoanza kufuatiliwa hawa jamaa wanajua kabisa ww ndo wa kwanza kwa hiyo ili asiwepo wa kuwataja lazima wajue unashia wapi.

Kwa ujumla kama ww ndo ulikuwa Kiongozi wa hili kundi kweli basi ww ndo msiri wao ili wao wabaki salama watakushughuliki mpaka senti ya mwisho ndo maani kule Itali na Brazil huwaiana kwani atakayemwai mwenzake sawa.

Ushauri wangu ni huu Ndugu yangu WAOMBE WATANZANIA MSAMAHA hii ni akiba kubwa sana kwao tafuta Hotuba za Rais Moi fanya kama fanya kama yyalivyowaomba msamaha Wakenya kumbuka zikija tuhuma juu yako hii kauli itakusaidia sana.
Ww sio Rais ulikuwa kiongozi omba kama aliyekuwa Mkuu wa Mkoa itakusaidi
Usiwe NUNDA ILA OMBA MSAMAHA WATANZANIA utakubeba

Maoni yangu ni hayo kama Kijana mwenzako
Pole Sana Ndugu
 
Bashite si ulisema hakuna mtu anakula raha nchi hii kama wewe, sasa ni zamu ya kula shubiri, kila kitu na zama zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…