Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli


Mkuu usiende mbali hivyo..kufungana kiroho tena?🙄🙄🙄🙄🤣
 

Huyo Makonda hatakiwi kuuwawa bali anatakiwa avunjwe miguu yote, au atobolewe macho, kisha aachwe kupata muda wa kurejea uovu wake hapa nchini. Hakuna mradi wowote aliojenga kwa mshahara wake hivyo asitafute kichaka cha kujifichia. Amtoe BenSaa8 au aonyeshe kaburi lake, na ataje wenzake walioshirikiana kutaka kumuua Lisu.
 
Je tuamini hayo makundi yote matano yanamuonea? Na kwani aonewe yeye na sio wengine waliokuwa chawa wa mwendazake? Ukimtoa sabaya ambae mpaka sasa haamini kinachomtokea kikweli (bolo young aliwahi kusema you are next)
 
Kabla hujauliwa, tunaomba utuoneshe ni wapi mlipomzika Ben Saanane?

Kwani Keagan kashaanza hata Baby Class?

Weka wosia mapema uzikwe wapi? Kolomije au Kinondoni
Keagan anahusika vp hapo na makosa ya babaake.
Nyie ndo mnaitwaga manyani mnakataa.
 
Acha kumdanganya,unamwambia "nchi hii watu wamezoea kula vya kupiga..." Lakini unasahau hiyo habari ya kupiga, yeye mwenyewe anaijua vizuri sana, aliitumia vibaya nafasi yake pengine zaidi ya mwingine yeyote, wakawanyanyasa waliotoa "maoni tofauti na " mungu" wao, wakatamka wazi wazi kwamba wanayo mamlaka ya kuondoa uhai wa yeyote atakayempinga "mungu" wao, haya sasa Mungu sio babu yao, "mungu" wao anaoza mdogo mdogo huko Tocha, wao wanalalamika na kutia huruma kutafuta kusaidiwa na wananchi!

Bahati mbaya sana, wananchi mnaowalilia leo hamkuwahi kuona umuhimu wao, ndiyo maana hata kura zao mlizipuuza, mkafanya mipango ya kutaka kutawala "milele" haya sasa kiko wapi? Kiko wapi?, twambie hapa, kiko wapi?????

Jifunzeni kuheshimu watu mnapokuwa na madaraka makubwa, kwani bila watu nyie Hanna maisha, tendeni haki mtaheshimiwa, lakini kwa style za kuwafanya wengine ng'ombe ila nyie tu ndiyo binadamu, hakika mtapiga sana kelele, lakini mwisho wa siku hakuna atakayewahurumia, tena Makonda hukumu yake na ipite tu...aonje ladha ya aliyowatendea wengine tena wasio na hatia...
 
Nahisi CHADEMA hawana baya na mtu sema ni ujinga ujinga wao tu wa kutoweza kujenga hoja zao vizuri. Nimeshangaa fedhuli Bashite kwenye list ya maadui zake hajataja chama cha Mboye.
 
13.05.2020 nilipost ukiuwa kwa upanga juwa utakufa kwa upanga sisi tutabaki kuwa mashahidi. Huwitaji kuhaha mtoto wa mfalme kama hakuna jinai ulifanya kwa jina lajamuhuri basi utaishi. Ila kama uliuwa upate sifa basi stay tune... Utauwona usiku kama mwaka mmoja...
 
Nasema hayo makundi yamechelewa sanaa ila Mungu wetu halali atakuunganisha na mwendazake kea njia rahisi usifu alipo baba ndipo utakuwepo
 
KKa
Kafe nae huko
 
Du! Kale kamsemo mwinda uwindwa kanataka kutimia. Makonda jiulize kwanini huwe wewe tu unayefuatiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…