Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Ukipanda Mahindi utavuna Mahindi hakuna Uchawi,Nasisitiza UKIPANDA MAHINDI UTAVUNA MAHINDI.
Kila mtu avune alichopanda tusichoshane.
 
Naomba mwenye ile picha amezungukwa na maafisa wa vikosi vya ulinzi na usalama na akiwa amebebwa na wana FFU atutupie hapa.
Nilipokuwa naangalia picha ile nyakati zile zikumtofautisha bashite na Idd Amini Dada. Nilisikitika sana alivyokuwa akisindikizwa na walinzi na kubebwa jujuu na juu na wana FFU. LOO! Ama kweli dunia tambala bovu
 
Kama anaogopa kweli basi atafute nchi ya kuhamia kama mkimbizi. Hii nchi inaelekea kuwa kama Pakistan, watu wanalipizana visasi kila kukicha.
Acha walipwe hapahapa, waliosema malipo ni hapa duniani hawakukosea.

Huyu alikuwa "anaojimwambafai"kwa kutishia na kuua watu huku akijificha katika hadaaa kubwa ya propaganda ya kujifanya eti anasaidia watu huku akipitisha mali zisizolipiwa kodi.

Nani atasahau makontena 40 yenye samani kwa jina lake?
Hayo mazuri aliyoorodhesha ilikuwa ni hadaa tu lakini mara nyingi uongo haudumu.
 
Paul Makonda anaweza akawa yuko sahihi mahala fulani, ila Kinachonishangaza na leo pia Kimenithibitishia kuwa ni Kweli hana Akili ni kuona akilalamikia yale ambayo Yeye alipokuwa DC wa Kinondoni na hasa hasa RC wa Dar es Salaam aliyafanya kwa Watanzania wengi kwa Niaba ya aliyekuwa Boss wake na kwa Interests zao.

Ushauri wangu mkubwa Kwake ( Paul Makonda ) ni kumuomba tu autumie muda wake mwingi kwa Kusali sana kwa Mwenyezi Mungu na Kutubu Dhambi zake zote ambazo leo hii ndiyo zinamgharimu na Kugeuka kuwa Laana Kwake na pia awaombe Radhi Watanzania na wale waliopitia Mateso yake akianzia na aliyekuwa Waziri Mkuu Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba pamoja Wengineo wengi tu.
 
paulo kafanya kazi kubwa kweli kulit3ngenezq jj la dar .yeyote atakayejidanganya kutaka kumdhuru au kumpachikia li kesi la kizandiki,Basi awe tayari kwenda Burundi forever!!
Ametengeneza nini?
 
Huyu mshenzi mpaka US walimpa ban, wanyamwezi walijua zamani sana ushenzi wake, ushamba na roho mbaya vinalipa sana
 
Ule msemo kuwa 'Malipo ni hapahapa duniani' unatimia Kwa vitendo! Anatakiwa atubu na aseme uovu wote alioshiriki kuutenda ,hapo atapata Amani ya nafsi!
 
Usimshtue aisee,asije akatubu kweli halafu akaingia mbinguni, huyu muache aendelee na kijiburi chake ili ashughulikiwe hapa duniani then akifika kuzimu aanze tens kushughulikiwa sawa sawa na matendo yake...
 
Usiishi kwa kiburi SPONSER hufariki.

Acha avune alichopanda wakati yeye anakula bata kuliko watu wote duniani ,wenzake walikuwa wanakula nzi.

Mimi huyo jamaa namcheki tu acha apambane na mambo yake.

Damu za waty wengi sana zinamlilia huyo jamaa mshamba
 
Life tu
Anadhani tumesahau ushenzi aliyoifanya Dodoma kwa baraka za yule mshenzi aliyeng'olewa roho na malaika wahuni.
Mungu akikuchoka anatuma malaika wahuni wakutoe roho.
Ni suala la muda mfupi tu roho yako itatolewa wewe Makonda
Malaika wahuni tena[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…