Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Nilichoelewa kuhusu msemo wake wa ..... Usione maji yametulia ..... Kina kirefu, bi maana wasione ametulia. Anajua wanayopanga na hawatomuweza. Wakiingia kuogelea watazama
 
Miye kwenye kundi namba #5 hizo ......... ndiyo nataka kujua ni akina nani?
 
Let us spill the beans on this weakleaks.

Lazima afikshwe kwenye vyombo vya dola ili kila mmoja wetu atambue kwamba cheo ni dhamana na unyama kwa binadamu haufai. Kila baya alilofanya kama lipo lienikwe kweupe kama ilivyokuwa kwa Sabaya. Utaratibu huu utatusaidia kuondoa uongozi wa kidhalimu ndani ya jamii yetu.

Maswahili muhimu ya kujibu kabla ya kumuadhibu mtuhumiwa huyu:

  1. Je tetesi za kwenye mitandao za Makonda kushikiriki kumdhuru Lissu ni za kweli au anasingiziwa?
  2. Je na hili la kujitajirisha kwa kasi kwa kusigina haki za watu ni la kweli?
  3. Je lile sakata la kuvamia clouds FM ni la kweli au lilitengezwa ili kumchafua yaani zile zilukuwa photoshop au alikuwa Makondo?
  4. Ukaguzi maalum wa mali anazo miliki Makonda: mashamba, viwanja, nyumba, na magari kuhakiki iwapo umiliki wake unaendana na biashara zake na ikiwezekana ijulikane mtaji alipata wapi na lini?.
  5. Baada ya hapo ushabiki uwekwe mbali na Makonda awajibishwe kwa mujibu wa taratibu. Asionewe wala kupendelewa. Tumeamua kuimarisha haki kwenye jamii yetu naye atendewe haki bila kulipa kisasi.
  6. Tukikumbatia ulipaji kisasi tuta kuza madonda ndugu kwenye jamii yetu.
 
Hata aibie majibu mtihani huu hawezi kufaulu why? Kwa sababu alibugi big time. Kwenye politics, hasa vijana ambao anafukuzia good future, fanya mambo kwa kipimo/kwa akiba. Unaowaona akina Nape, makamba Jr, Antony Mtaka etc kama wangefanya kazi kwa staili ya Makonda au Sabaya au yule Happy Leo wasingekuws pale.
 
Kwenye hili genge la wahuni na majizi, hawashindwi kufanya chochote. Mtangulize mungu mbele utashinda bila shaka.
 
Wewe makonda ulijisahau Sanaaa kipindi Cha yule raisi wako, u were untouchable tulia watu wakushughulikie
 
Si akatoe ripoti polisi then atulie tuli polisi wafanye kazi yao, mpaka ameorodhesha makundi ina maana anawafahamu.

Kwa kumbukumbu tu:Yeye ni mmoja ya wale waliodhihaki pale Lissu alipolalamika kuwindwa, kufuatiliwa(huku akiwapa polisi mpaka namba za gari linalomfuatilia) na kutaka kuuawa.

Karma is real, apambane na hali yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Press ambayo Jiwe alifanya Dar then Makonda asishiriki! Press zote Makonda alikuwa front row kasoro Press ya siku ambayo Lissu alipigwa risasi.

Ana Alibi kwamba hiyo siku alionekana mahali fulani sasa kwanini watu wasikuhusishe? Ni kwa vile tu nchi yetu haifati sheria, ila angekamatwa athibitishe alikuwa wapi huo muda Lissu anachapwa risasi
 
Nilichoelewa kuhusu msemo wake wa ..... Usione maji yametulia ..... Kina kirefu, bi maana wasione ametulia. Anajua wanayopanga na hawatomuweza. Wakiingia kuogelea watazama
Inatafakarisha. Huyu bwana anatuhumiwa kumiliki mali nyingi sana zisizowiana na kipato chake; lakini pamoja na kelele nyingi zinazopigwa na wananchi serikali haitaki kusikia.

Mahakamani ndio sehemu stahiki kutoa utetezi wake. Awahishwe huko kama alivyowahishwa Sabaya.

Kama kweli kuna watu wanapanga kuutoa uhai wake, watu hao watakuwa waovu zaidi yake wanaokusudia kufunika uovu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…