Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Ila yuuuu viiiiiiii sisiemu nao mna ukichwa boga. Makamanda yote hayo yamekuzunguka na vile ving'ola ulishindwa kutoka nacho hata kimoja uwe unalilia humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila yuuuu viiiiiiii sisiemu nao mna ukichwa boga. Makamanda yote hayo yamekuzunguka na vile ving'ola ulishindwa kutoka nacho hata kimoja uwe unalilia humo
Usimtoe aandikwe kwa herufi kubwa lukuvi ni.........Lukuvi mtoe hapo
Let us spill the beans on this weakleaks.Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Hata aibie majibu mtihani huu hawezi kufaulu why? Kwa sababu alibugi big time. Kwenye politics, hasa vijana ambao anafukuzia good future, fanya mambo kwa kipimo/kwa akiba. Unaowaona akina Nape, makamba Jr, Antony Mtaka etc kama wangefanya kazi kwa staili ya Makonda au Sabaya au yule Happy Leo wasingekuws pale.Pole sana Makonda.
Hii nchi watu washazoea kula vya kupiga. Sasa hivi watu wametulia wanakula tu milungula na wametulia tuli. Wanasiasa nao wanapata pesa nzuri toka huko serikalini ili kupunguza joto la ushindani. Siasa za Bongo haziendi bila unafiki.
Ila utafaulu huu mtihani.
Kwenye hili genge la wahuni na majizi, hawashindwi kufanya chochote. Mtangulize mungu mbele utashinda bila shaka.Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Duh !!!Hayo yote yametokea kwajili ya katiba mbovu.na muhimili kuwa mmoja yaani raisi na wapambe wake walikuwa untouchable.bila katiba ya haraka nchi itakuja geuka rwanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Si akatoe ripoti polisi then atulie tuli polisi wafanye kazi yao, mpaka ameorodhesha makundi ina maana anawafahamu.Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police [emoji1986], ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Hakuna Press ambayo Jiwe alifanya Dar then Makonda asishiriki! Press zote Makonda alikuwa front row kasoro Press ya siku ambayo Lissu alipigwa risasi.Leo Bashite ndio amekuwa ametaka kumuua Lissu ? na yule jamaa humu mliyesema few weeks ago aliyemshambulia Lissu hausiki tena ?
Acheni kumsingizia Bashite,issue ya Lissu ni Jiwe ndiye alipayuka maneno ya kuashiria Lissu achapwe risasi.Taifa hili hatujui tunataka nini wewe ni kama wale jamaa humu asubuhi walikuwa wanawatetea TISS kwa kumnyanyasa dogo fulani
Hata kama tuseme basi Lissu shambio lake lilipangwa na Bashite nduo auwawe ? kwanini asipelekwe mahakamani ahukumiwe ?
Mbowe alibebeshwa kesi kihuni tukapiga kelele sana humu,leo mnashabikia na Bashite abebeshwe kesi which Means mnapenda haya mambo ya kubambikiana makesi
Narudia tena,Lissu damu yake kuna uwezekano mkubwa ilimwagika kwa sababu ya kauli ya jiwe,muacheni Bashite kwenye hili Mkuu
Inatafakarisha. Huyu bwana anatuhumiwa kumiliki mali nyingi sana zisizowiana na kipato chake; lakini pamoja na kelele nyingi zinazopigwa na wananchi serikali haitaki kusikia.Nilichoelewa kuhusu msemo wake wa ..... Usione maji yametulia ..... Kina kirefu, bi maana wasione ametulia. Anajua wanayopanga na hawatomuweza. Wakiingia kuogelea watazama
Nimetoa Ushauri tu kwa Makonda mkuuAtasamehewa na Mungu wake sio sisi
Eleza nawew unachokijuaUnajielezea sana.
Hafi leo au keshoKKa
Kafe nae huko