Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Anaemuomba amuonee huruma kwenye chama ndio aliwahi kumdhalilisha.....
 
Sasa mwanaume mzima kama makonda anaogopa mashoga? Awachape ngumi tu wakie zao aendelee kutesa na kula maisha like no body else
 
alitakiwa ajiue sio auawe, yani kwa upuuzi wooote na otovu wa nidhamu aliowafanyia watu anadiriki hata kuandika kitu kwenye social media? ama kweli akili ni nywele.
 
Ametaja tu mazuri,mabaya mbona hajasema?
1.Vip kule Clouds?
2.Vipi AKINA Roma?
3.Vipi akina Lisu?
4.Vpi kuhusu wale waliokuwa wanadharaulika?
 
Huyo bashite kaamua kuanza kuitetea legacy yake yeye mwenyewe, maana anajua kwa maisha aliyoishi hapo nyuma soon watu wataruka naye.
 
Kwamba makonda alitumia vibaya madaraka yake, ni kweli. Lakini haiondoi ukweli kwamba hao aliowataja ni wabaya kwa Taifa hili mara 1000 zaidi ya makonda.

Tunawachekea watu (kikundi cha watu wachache na familia zao) wanaodhani Taifa hili ni Mali yao binafsi? Watu wanaochukulia nchi hii kama kipande Chao cha shamba?!
 
Tulimuambia ushamba ni mzigo.Aliona anapendwa vile anavyozungukwa na wasanii kumbe siku zote wasanii ni machawa
NIMESOMA COMENTS ZOTE HAKIKA ZINAASHIRIA JAMAA NI SWALA MUDA TU ATABANANISHWA KISHERI.TENA KAMA ANGEWEKWA HADHARI NA WATU WAULIZWE JE ALITENDA MEMA AU MABAYA?SAUTI ZINGEPAZWA MABAYAAAA
 
"…. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi. "
Watu wa psychology hatua hiyo mnaiitaje vile?
 
Wewe jamaa I'd Yako imehakiwa au naona makengeza
Wewe si ndio chinembe wa Mataga na S.Gang?
Imekuaje Tena?
😁😁😁😁🔥
 
Ulikuwa wapi 2015-21 wkt jiwe wenu akitesa watu? Si mlishangilia? Na huyu PM analindwa na nani kama si ninyi CCM?
 
Makonda alikuwa Mara kwa mara anamtembelea mshirka wake na suspect Mkubwa drugs seller daudi kanyau huko south africa
 
Huyu watamng'oa tuu..
Wakishindwa yeye mwenyewe asipojiua atakufa kwa kihoro
 
Ukweli kama ni list ya watu waovu ni hii
1: Jiwe
2: Bashite
3: Saambaya
 
Safi sana ndo uongozi unatakiwa ivo!! hilo li chogolo nalo li ndezi tu!...kwa nini lina mu attack! Boss wake bana? ......haya bana ndo nini!! bull shit!...chogolo leo yuko bench!
 
X
No Christopher Wallace aka Big Poppa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…