Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ID popote inapoonekana najikuta naenda kufukua kaburi lakula tunda kimasihara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inabdi hii ID ibaki na heshima yakee kwa kweli... Nifungue mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Sasa mwanaume mzima kama makonda anaogopa mashoga? Awachape ngumi tu wakie zao aendelee kutesa na kula maisha like no body else
Ametaja tu mazuri,mabaya mbona hajasema?Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Nakazia hiliNa atakufa tu.Yeye wakati anaua alimuwa anafurahia sn.
Ameumiza sn watu huyu.Kwanza wanamchelewesha
NIMESOMA COMENTS ZOTE HAKIKA ZINAASHIRIA JAMAA NI SWALA MUDA TU ATABANANISHWA KISHERI.TENA KAMA ANGEWEKWA HADHARI NA WATU WAULIZWE JE ALITENDA MEMA AU MABAYA?SAUTI ZINGEPAZWA MABAYAAAATulimuambia ushamba ni mzigo.Aliona anapendwa vile anavyozungukwa na wasanii kumbe siku zote wasanii ni machawa
Wewe jamaa I'd Yako imehakiwa au naona makengezaHuyu dawa yake yake imechemka muda mrefu, mama Samia, tuma mtu akaiipue, kama alijaribu kumuwinda Lissu, arobaini yake imefika.
Anahofia kesi ya uhujumu uchumi wakati nyumbani kajaza magari ya kudhulumu? Kadhulumu viwanja? Alimpakaza Ruge na ma scjajajakaaaa mkononi siku anapatanishwa mbele ya JPM baada ya hapo Ruge akaanza kuugua?, bilionea asiye na biashara!, Alipata ubilionea baada ya kuwa Mkuu wa Mkoa mwenye mshahara wa milioni tano!. Alikuwa anafika katika maofisi ya mabilionea anachota Hela kwa nguvu!
Lemutuz naye kamkimbia, a lone wolf!
Wewe KISIWAGA ni jinga Sana ujue ulivyokazia na hayo maandishi nimecheka Sana!nadhani angeandika pia huko Instagram adhabu gani kwake ni nafuu kati ya kupeleka kalio gerezani au kumfuata hayati mayanga kuzimu
Ulikuwa wapi 2015-21 wkt jiwe wenu akitesa watu? Si mlishangilia? Na huyu PM analindwa na nani kama si ninyi CCM?N
Ni watanzania wote wajifunze sio Pro CCM tu,a,yaan namaanisha tusijitutumue sana tunapokuwa na madaraka makubwa na kuvuka mpaka uwe mwenyekiti wa tawi wa Chadema,CCM,Mwenyekiti wa Vicoba,baba mwenye nyumba n.k,mimi ni pro CCM lakini sikubaliani na upuuzi aliokuwa anaufanya huyo mbwiga
Makonda alikuwa Mara kwa mara anamtembelea mshirka wake na suspect Mkubwa drugs seller daudi kanyau huko south africaAsitie huruma akazuia madawa akaanza kufanya yeye hiyo bizness, akanunua kujenga majumba na magari ya kifahari mda mfupi wa utumishi na kwenda kuunanga Umma wa watanzania kuwa wewe NDIYE UNAONGOZA KWA KULA RAHA HAPA DUNIANI mbwa wee, umeporapora watu na kuua ua watu leo, unajistukia eti wanataka kukuua, ni matendo yako unajistukia kipindi hiki cha haki ikihubiliwa, dhalimu mkubwa, vijana mjifunze kupitia huyu hayawani wa madaraka. Tulia uishi kwa adabu Ila Mungu atashughulika na wewe kwa ya hovyo hovyo mengi. Kazi zilizofanyika ukiwa hapo ni sehemu ya majukumu ambapo ulilipwa na maovu uliyofanya kutumia ofisi hayafutwi na kazi sahihi zilizofanyika
Umeongea nini hapa mbona sikuelewi!!?Ulikuwa wapi 2015-21 wkt jiwe wenu akitesa watu? Si mlishangilia? Na huyu PM analindwa na nani kama si ninyi CCM?
Ukweli kama ni list ya watu waovu ni hiiKwamba makonda alitumia vibaya madaraka yake, ni kweli. Lakini haiondoi ukweli kwamba hao aliowataja ni wabaya kwa Taifa hili mara 1000 zaidi ya makonda.
Tunawachekea watu (kikundi cha watu wachache na familia zao) wanaodhani Taifa hili ni Mali yao binafsi? Watu wanaochukulia nchi hii kama kipande Chao cha shamba?!
Safi sana ndo uongozi unatakiwa ivo!! hilo li chogolo nalo li ndezi tu!...kwa nini lina mu attack! Boss wake bana? ......haya bana ndo nini!! bull shit!...chogolo leo yuko bench!Makonda akili ndio hua hana.
Yeye angetulia tu watu wamsahau aendelee na maisha yake.
Kuendelea kutafta public sympathy na kuropoka ropoka asisahau kua watu wengi aliwafanyia ujinga bado wapo na wengine wana nafasi kubwa serikalini.
Angalai hapa anamtukana na kumkaripia Chogolo kama mtoto mdogo hadi jamaa anasema haya bana.
Ila kwa kua Makonda akili hana ataendelea kuropoka hadi wanaomkingia kifua watachoka watamuacha ashambiliwe na mbwa mwitu.
View attachment 2184655
.
No Christopher Wallace aka Big PoppaNakumbuka ugomvi wa maraper wa west coast and east coast marekani…Tupac na sijui nani jina limetoka wa east walipoteza maisha…yaani mpaka damu zimwagike ndio watu wanapoaga akili…ila sasa kuna pepo la hasira na visasi tusipokaa sawa litatumaliza….