Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Anaemuomba amuonee huruma kwenye chama ndio aliwahi kumdhalilisha.....
 
Sasa mwanaume mzima kama makonda anaogopa mashoga? Awachape ngumi tu wakie zao aendelee kutesa na kula maisha like no body else
 
alitakiwa ajiue sio auawe, yani kwa upuuzi wooote na otovu wa nidhamu aliowafanyia watu anadiriki hata kuandika kitu kwenye social media? ama kweli akili ni nywele.
 
Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.

Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk

Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.

1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.

Mambo mawili najiuliza

1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?

2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?

MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮‍♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.

Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.

#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”

Ametaja tu mazuri,mabaya mbona hajasema?
1.Vip kule Clouds?
2.Vipi AKINA Roma?
3.Vipi akina Lisu?
4.Vpi kuhusu wale waliokuwa wanadharaulika?
 
Huyo bashite kaamua kuanza kuitetea legacy yake yeye mwenyewe, maana anajua kwa maisha aliyoishi hapo nyuma soon watu wataruka naye.
 
Kwamba makonda alitumia vibaya madaraka yake, ni kweli. Lakini haiondoi ukweli kwamba hao aliowataja ni wabaya kwa Taifa hili mara 1000 zaidi ya makonda.

Tunawachekea watu (kikundi cha watu wachache na familia zao) wanaodhani Taifa hili ni Mali yao binafsi? Watu wanaochukulia nchi hii kama kipande Chao cha shamba?!
 
Tulimuambia ushamba ni mzigo.Aliona anapendwa vile anavyozungukwa na wasanii kumbe siku zote wasanii ni machawa
NIMESOMA COMENTS ZOTE HAKIKA ZINAASHIRIA JAMAA NI SWALA MUDA TU ATABANANISHWA KISHERI.TENA KAMA ANGEWEKWA HADHARI NA WATU WAULIZWE JE ALITENDA MEMA AU MABAYA?SAUTI ZINGEPAZWA MABAYAAAA
 
"…. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi. "
Watu wa psychology hatua hiyo mnaiitaje vile?
 
Huyu dawa yake yake imechemka muda mrefu, mama Samia, tuma mtu akaiipue, kama alijaribu kumuwinda Lissu, arobaini yake imefika.

Anahofia kesi ya uhujumu uchumi wakati nyumbani kajaza magari ya kudhulumu? Kadhulumu viwanja? Alimpakaza Ruge na ma scjajajakaaaa mkononi siku anapatanishwa mbele ya JPM baada ya hapo Ruge akaanza kuugua?, bilionea asiye na biashara!, Alipata ubilionea baada ya kuwa Mkuu wa Mkoa mwenye mshahara wa milioni tano!. Alikuwa anafika katika maofisi ya mabilionea anachota Hela kwa nguvu!

Lemutuz naye kamkimbia, a lone wolf!
Wewe jamaa I'd Yako imehakiwa au naona makengeza
Wewe si ndio chinembe wa Mataga na S.Gang?
Imekuaje Tena?
😁😁😁😁🔥
 
N

Ni watanzania wote wajifunze sio Pro CCM tu,a,yaan namaanisha tusijitutumue sana tunapokuwa na madaraka makubwa na kuvuka mpaka uwe mwenyekiti wa tawi wa Chadema,CCM,Mwenyekiti wa Vicoba,baba mwenye nyumba n.k,mimi ni pro CCM lakini sikubaliani na upuuzi aliokuwa anaufanya huyo mbwiga
Ulikuwa wapi 2015-21 wkt jiwe wenu akitesa watu? Si mlishangilia? Na huyu PM analindwa na nani kama si ninyi CCM?
 
Asitie huruma akazuia madawa akaanza kufanya yeye hiyo bizness, akanunua kujenga majumba na magari ya kifahari mda mfupi wa utumishi na kwenda kuunanga Umma wa watanzania kuwa wewe NDIYE UNAONGOZA KWA KULA RAHA HAPA DUNIANI mbwa wee, umeporapora watu na kuua ua watu leo, unajistukia eti wanataka kukuua, ni matendo yako unajistukia kipindi hiki cha haki ikihubiliwa, dhalimu mkubwa, vijana mjifunze kupitia huyu hayawani wa madaraka. Tulia uishi kwa adabu Ila Mungu atashughulika na wewe kwa ya hovyo hovyo mengi. Kazi zilizofanyika ukiwa hapo ni sehemu ya majukumu ambapo ulilipwa na maovu uliyofanya kutumia ofisi hayafutwi na kazi sahihi zilizofanyika
Makonda alikuwa Mara kwa mara anamtembelea mshirka wake na suspect Mkubwa drugs seller daudi kanyau huko south africa
 
Huyu watamng'oa tuu..
Wakishindwa yeye mwenyewe asipojiua atakufa kwa kihoro
 
Kwamba makonda alitumia vibaya madaraka yake, ni kweli. Lakini haiondoi ukweli kwamba hao aliowataja ni wabaya kwa Taifa hili mara 1000 zaidi ya makonda.

Tunawachekea watu (kikundi cha watu wachache na familia zao) wanaodhani Taifa hili ni Mali yao binafsi? Watu wanaochukulia nchi hii kama kipande Chao cha shamba?!
Ukweli kama ni list ya watu waovu ni hii
1: Jiwe
2: Bashite
3: Saambaya
 
Makonda akili ndio hua hana.

Yeye angetulia tu watu wamsahau aendelee na maisha yake.

Kuendelea kutafta public sympathy na kuropoka ropoka asisahau kua watu wengi aliwafanyia ujinga bado wapo na wengine wana nafasi kubwa serikalini.

Angalai hapa anamtukana na kumkaripia Chogolo kama mtoto mdogo hadi jamaa anasema haya bana.

Ila kwa kua Makonda akili hana ataendelea kuropoka hadi wanaomkingia kifua watachoka watamuacha ashambiliwe na mbwa mwitu.
View attachment 2184655
.
Safi sana ndo uongozi unatakiwa ivo!! hilo li chogolo nalo li ndezi tu!...kwa nini lina mu attack! Boss wake bana? ......haya bana ndo nini!! bull shit!...chogolo leo yuko bench!
 
X
Nakumbuka ugomvi wa maraper wa west coast and east coast marekani…Tupac na sijui nani jina limetoka wa east walipoteza maisha…yaani mpaka damu zimwagike ndio watu wanapoaga akili…ila sasa kuna pepo la hasira na visasi tusipokaa sawa litatumaliza….
No Christopher Wallace aka Big Poppa
 
Back
Top Bottom