Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Pole kwa yanayokusibu. Mazuri mengi ulifanya na bila shaka mabaya yapo na uwezi kuyaorodhesha. Yaliyo mengi kati ya hizo pande mbili ndiyo yatakukomboa au kukuangamiza... Yaani kama haukushiriki mauaji basi utasalimika tu, kinyume chake utakuwa unalipa gharama ya matendo yako.
 
Huyu Makonda vipi tena analalama?
Si anasahau kuwa alikuwa mtu mwenye raha duniani kuliko mtu yeyote?
Alifikiri raha ya bure?
 
CCM ni Chama imara sana yaani fanya uovu wakooo hukoooo kuna siku tu kabla hujafa utalipia.
Wanapopitia vibaraka wa mwendazake ni mule mule na Shetani Magufuli angepitia ashukuru roho iling’olewa mapema. CCM hoyeee
 
Laana ya Mzee Warioba inakutafuta mtafute muombe msamaha yule Mzee kabla hajafariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…