Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pro CCM NDIO wajifunzeMaskini ya Mungu..watanzania tuna la kujifunza hapa!!!
... Lissu alilalamika mara elfu lakini hakuna aliyejali zaidi ya dhihaka kwake; kwani yeye Bashite dunia itasimama? Atapita, Tanzania itaendelea kuwepo.Mpaka ameandika mitandaoni threat ipo bedroom. Pole kwake
Huyu dawa yake yake imechemka muda mrefu, mama Samia, tuma mtu akaiipue, kama alijaribu kumuwinda Lissu, arobaini yake imefika.
Anahofia kesi ya uhujumu uchumi wakati nyumbani kajaza magari ya kudhulumu? Kadhulumu viwanja? Alimpakaza Ruge na ma scjajajakaaaa mkononi siku anapatanishwa mbele ya JPM baada ya hapo Ruge akaanza kuugua?, bilionea asiye na biashara!, Alipata ubilionea baada ya kuwa Mkuu wa Mkoa mwenye mshahara wa milioni tano!. Alikuwa anafika katika maofisi ya mabilionea anachota Hela kwa nguvu!
Lemutuz naye kamkimbia, a lone wolf!
Ni watanzania wote wajifunze sio Pro CCM tu,a,yaan namaanisha tusijitutumue sana tunapokuwa na madaraka makubwa na kuvuka mpaka uwe mwenyekiti wa tawi wa Chadema,CCM,Mwenyekiti wa Vicoba,baba mwenye nyumba n.k,mimi ni pro CCM lakini sikubaliani na upuuzi aliokuwa anaufanya huyo mbwigaPro CCM NDIO wajifunze
Ndugu zangu, kamwe usimtegemee mwanadamu.Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Vijana mkipata madaraka msisahau waliowatangulia Leo mnakimbilia mtandaoni kujihami cc hatuna haha nanyie mpambane kivyenu Kama sd tunavyopambana namaisha yetu..ila need nushauri tu UKIWEZA mfuate yule mchaga like Canada Mr God bless lemaAliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police [emoji1986], ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Atafute maombezi ila pia polisi wamesikia apeleke taarifaKwani Instagram ndio police post mpaka anaenda kuripoti huko?
Au nae leo hawaamini polisi? haya maisha siku hizi yanaenda kasi sana.
Anyway nikimsoma maandiko yake, psychologically Makonda is not ok, anaonekana ana msongo wa mawazo, anajua his days are numbered in whichever way.
Mna uhakika hii ni account yake?Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Inabidi amtafute Sabaya na Cyprian Musiba iliwajifunze pamoja namna ya kuishi na watu.Anataka huruma kwa jamii??. Too late ni muda wakusaga meno na kulipa maovu uliyoyatenda.
Mkuu tule mtori nyama zipo chiniWanazika wapi? Au wanasafirisha?
Lukuvi mtoe hapoDr. Magufuli
Ndugai
Lukuvi
Polepole
Bashiru
Kalemani
Sabaya
Bashite
Chalamila
Chain ni ndefu ila Mzee amewaaacha pabaya sana vijana wake.