Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Kwamba Ruge alipakwaa!!!?serious offence!do you have evidence to prove this!!?
 
Ndugu zangu, kamwe usimtegemee mwanadamu.
 
Vijana mkipata madaraka msisahau waliowatangulia Leo mnakimbilia mtandaoni kujihami cc hatuna haha nanyie mpambane kivyenu Kama sd tunavyopambana namaisha yetu..ila need nushauri tu UKIWEZA mfuate yule mchaga like Canada Mr God bless lema
 
Atafute maombezi ila pia polisi wamesikia apeleke taarifa
 
Mna uhakika hii ni account yake?

Isije kuwa watu wanamlisha maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…