Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Yes, tupo dogo Makonda...tunakutafuta sana. Unaishi wapi kwa sasa?
 
Kabla hujauliwa, tunaomba utuoneshe ni wapi mlipomzika Ben Saanane?

Kwani Keagan kashaanza hata Baby Class?

Weka wosia mapema uzikwe wapi? Kolomije au Kinondoni
Wanamtoa nyumba zote, atakuwa kama Sabaya
 
Kina "kilefu" ndo nini we bashite wee😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…