mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Heshimu watu sponsor hufaDAB bhana, "ndani ya mkoa wangu"
Huwezi amini once the owner of Daslam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshimu watu sponsor hufaDAB bhana, "ndani ya mkoa wangu"
Huwezi amini once the owner of Daslam.
Kama kuna Mtanzania ambaye hakujifunza kitu awamu ya tano SHAURI YAKE.Heshimu watu sponsor hufa
Dadeeeeki hakatizi June atakua mbele ya PilatoMkuu tule mtori nyama zipo chini
Ali Hapi, Heri James, Msiba,Dr. Magufuli
Ndugai
Lukuvi
Polepole
Bashiru
Kalemani
Sabaya
Bashite
Chalamila
Chain ni ndefu ila Mzee amewaaacha pabaya sana vijana wake.
Atasamehewa na Mungu wake sio sisiOmba msamaha wa WAZI kama kuna uovu wowote uliufanya ili Mwenyezi Mungu Akusamehe na kukupa ulinzi wake!
Yes, tupo dogo Makonda...tunakutafuta sana. Unaishi wapi kwa sasa?Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Wanamtoa nyumba zote, atakuwa kama SabayaKabla hujauliwa, tunaomba utuoneshe ni wapi mlipomzika Ben Saanane?
Kwani Keagan kashaanza hata Baby Class?
Weka wosia mapema uzikwe wapi? Kolomije au Kinondoni
Ukiwa mkimya waepusha mengi sanaMla bata namba moja TZ sasa hivi analia kweli "Life is changes kama Best Nazo"
Kina "kilefu" ndo nini we bashite wee😀Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
List ni ndefu, kuna wengine wananyooshwa kimya kimyaDr. Magufuli
Ndugai
Lukuvi
Polepole
Bashiru
Kalemani
Sabaya
Bashite
Chalamila
Chain ni ndefu ila Mzee amewaaacha pabaya sana vijana wake.
Happy ndo ana taabu kila akikumbuka lazima atubuAli Hapi, Heri James, Msiba,