Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

baada ya kubanwa kila kona anataka kujiteka au anataka kumeza kidonge halafu baadaye aseme nilitoa tahadhari
 

 
Pamoja na tofauti zilizopo.....

Komredi Paulo Makonda asihukumiwe kwa kazi alizozifanya akiwa chini ya UTAWALA WA AWAMU YA 5..........

Kama kiongozi wa zamani ana haki kupaza sauti dhidi ya HUJUMA zozote zilizo juu yake......

Kama taifa tuna mengi mno ya kufanya kwa ajili yetu watanzania na vizazi vyetu zaidi ya NONGWA za makundi ya kisiasa yasiyo na afya yoyote.......

Mwenyezi Mungu akulinde wewe na familia yako ndugu Paulo Makonda ,aaaamen aaaaamen aaaamen🙏

#Siempre JMT🙏
#Yetzer Hatov🙏
#Do Not Do Harm🙏
 
Sijaelewa hapo aliposema ukiona maji yametulia ujue kinakirefu sijaelewa maanayake nini.

Anyway, amwonbe Mungu atamuepusha na wahuni.

Otherwise HANA BAYA!.
 
MH ; RIZIWANI KIKWETE huyu takataka kumbuka kuwa wewe ndiyo ulimpaisha baada ya kukusafishia vitatu na kwa taarifa yako hata watu wanakudharau kwaajili ya urafiki wako na jambazi huyu na hata wewe alikufanyia ujambazi kwa kuuza Siri yenu wewe na MH MEMBE kwa Jiwe kumbuka mlikuwa timu Membe uchaguzi 2015 ndani Ya chama hata Mh SALMA Kikwete mlikuwa nae sijui kama nae aliwauza kwa Jiwe akapata ubunge
 
Wasukuma watakuwa mazoba kiasi hicho?
JPM, Kwandikwa na wewe pia.

Vita vitafumuka.

Narudi zangu Usafani.

Kama unataka Vita nenda Kongo. Alipigwa risasi Lissu, kapotezwa Been Sananae , Azory Gwanda na kuuwawa kwa Alfonce Mawazo lakini Watu hawakufanya Vita. Sembuse huyo mjaa laana aliyekataliwa Kigamboni na Wana CCM wenzake?. Aende zake huko asitupigie kelele. Wenzake walipokuwa wanalia yeye alicheka, Sasa yeye analia hakuna wa kumtetea.
 
Akiandika kwenye matandao wake wa insta amelalamikia makundi ambayo ameyataja juwa yako kwenye mipango ya kuhakikisha anauawa au kufungwa maisha jela View attachment 2184064
Asitie huruma akazuia madawa akaanza kufanya yeye hiyo bizness, akanunua kujenga majumba na magari ya kifahari mda mfupi wa utumishi na kwenda kuunanga Umma wa watanzania kuwa wewe NDIYE UNAONGOZA KWA KULA RAHA HAPA DUNIANI mbwa wee, umeporapora watu na kuua ua watu leo, unajistukia eti wanataka kukuua, ni matendo yako unajistukia kipindi hiki cha haki ikihubiliwa, dhalimu mkubwa, vijana mjifunze kupitia huyu hayawani wa madaraka.

Tulia uishi kwa adabu Ila Mungu atashughulika na wewe kwa ya hovyo hovyo mengi. Kazi zilizofanyika ukiwa hapo ni sehemu ya majukumu ambapo ulilipwa na maovu uliyofanya kutumia ofisi hayafutwi na kazi sahihi zilizofanyika
 
huyu kiazi anasema amejenga shule na mahospitali .... foolish kabisa ... yaani hela ya walipa kodi ni yake ... puke

Hilo jamaa jinga Sana, Yani halishtuki kwamba lilikataliwa kigamboni leo linajifanya kuleta maujinga yake. Baadala litubu linajitetea eti madawa ya kulevya na mashoga wanataka kumuua. Jinga kweli.
 
Nakumbuka ugomvi wa maraper wa west coast and east coast marekani…Tupac na sijui nani jina limetoka wa east walipoteza maisha…yaani mpaka damu zimwagike ndio watu wanapoaga akili…ila sasa kuna pepo la hasira na visasi tusipokaa sawa litatumaliza….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…