Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Pole sana Bw. Makonda.

Bahati mbaya hayo makundi ndio ya wale uliowapa kesi ya uhujumu uchumi. Sasa DPP amewaachia wanataka walipize maana huna tena power.
Hakuna wauza madawa wowote ambao Makonda alisababisha wakashikwa na kufungwa. Pia hakuna mashoga wowote ambao walifungwa kwa ajili ya Makonda. Hii ni mbinu ya kutafuta huruma na kutaka kuwafanya watu wasahau madhambi yake hasa ufisadi aliofanya wa kupora mali za watu.
 
Nawahurumia wafuatao,

Makonda

Bashiru Ali

Musiba
huyu ndo Ana msiba kabisa.

Na Yule waliye msukumia Malawi
Polepole

Bwana mdogo Sabaya huyu tayari kageuzwa biriani mbele ya waarabu wenye njaa

Na wengine wengi ambao hawakuwa mstari wa mbele

Hao niliowataja ni viongozi wazuri sana,Ila ni kwamba Hayati aliwalevya sana wakajisahau

Wakamuona Kama MUNGU duh!

Yaani Hayati cheo Cha uraisi kilimzidi uwezo,ni sawa na kujitwisha kilo mia ilhali uwezo wako no kilo thelathini

Halafu alikuwa wakuja,watoto wa mjini wanalielewa hili.

Ni sawa na mtu atoke kijijini aje awasimulie movie za Rambo na wavietnam leo ,Vitu vya miaka mingi

Sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU.

Kama kweli jehanum ipo,kwa Hayati atatumikia adhabu ya kuwapotosha vijana wake kuwapandikiza roho mbaya

Kisha adhabu zingine zitafuata.

But namuombea Hayati, MUNGU amsamehe hakua anajua kitu

Hasira,dharau,najivuno,maamrisho ,
Teuzi+tengua ,kukosa busara ni uwezo wake ulipofikia,Kuaibisha watu mbele ya hadhira,tumbua majipu sijui,kutoa mamilioni kiholela,vyoooote hivyo ni

USHAMBA uliopitiliza masikini.

Kifupi Mimi simulaumu namuombea apumzike salama kwenye makazi ya milele
 
Kachanganyikiwa.

Clouds alikwenda kufanya nini na silaha za moto.

Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.

Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk

Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.

1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.

Mambo mawili najiuliza

1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?

2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?

MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮‍♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.

Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.

#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”

Tunaomba kwanza vyeti vya shule Bashite; hizo ofisi za CCM na Misikiti ulizojenga kwa mtutu wa bunduki na dhulma nani anahitaji?
 
[/QUOTE

Makonda alishalipwa na Wananchi pale alipopigwa Chini kwenye Kura za maoni kigamboni. Sijui anataka Nini kingine.
 
Damu ya Tundu Lissu utaitapika!
Endelea kurusha msabwada
Leo Bashite ndio amekuwa ametaka kumuua Lissu ? na yule jamaa humu mliyesema few weeks ago aliyemshambulia Lissu hausiki tena? Acheni kumsingizia Bashite, issue ya Lissu ni Jiwe ndiye alipayuka maneno ya kuashiria Lissu achapwe risasi. Taifa hili hatujui tunataka nini wewe ni kama wale jamaa humu asubuhi walikuwa wanawatetea TISS kwa kumnyanyasa dogo fulani.

Hata kama tuseme basi Lissu shambio lake lilipangwa na Bashite nduo auwawe ? kwanini asipelekwe mahakamani ahukumiwe?

Mbowe alibebeshwa kesi kihuni tukapiga kelele sana humu,leo mnashabikia na Bashite abebeshwe kesi which Means mnapenda haya mambo ya kubambikiana makesi. Narudia tena, Lissu damu yake kuna uwezekano mkubwa ilimwagika kwa sababu ya kauli ya jiwe, muacheni Bashite kwenye hili Mkuu.
 
Back
Top Bottom