Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Katika Ukurasa wake wa Instagram Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar ameandika yafuatayo, Nanukuu

Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.

1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.

Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?

2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?

MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮‍♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.

Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.

#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.
Wauza madawa tunawajua.Huyu mzee na mwanawe kila siku wanatajwa.
 
Pamoja na tofauti zilizopo.....

Komredi Paulo Makonda asihukumiwe kwa kazi alizozifanya akiwa chini ya UTAWALA WA AWAMU YA 5..........

Kama kiongozi wa zamani ana haki kupaza sauti dhidi ya HUJUMA zozote zilizo juu yake......

Kama taifa tuna mengi mno ya kufanya kwa ajili yetu watanzania na vizazi vyetu zaidi ya NONGWA za makundi ya kisiasa yasiyo na afya yoyote.......

Mwenyezi Mungu akulinde wewe na familia yako ndugu Paulo Makonda ,aaaamen aaaaamen aaaamen[emoji120]

#Siempre JMT[emoji120]
#Yetzer Hatov[emoji120]
#Do Not Do Harm[emoji120]
Dua yako itamsaidia!!!
 
Sasa shoga anawezaje kuua mtu atampiga na ndala au upande wa kanga?

Kikubwa PM aliishi maisha mabaya wakati akiwa kiongozi alisahau kesho huwenda ikawa si leo ndiyo maana vita imekuwa kubwa kwake kila aliyekwaruzana naye anamtaka, bora hata angetishiwa na wauza madawa tu ila si mashoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashoga mabaunsa wapo kwani hujui?
 
Mbona hata Sasa yanajengwa, si alilipwa mshahara au ukijenga ndio uwaue watu, kaua ruge, kateka kina roma, mo dewiji, kina risu umewatia marisasi na kile kikosi kazi, ufe tu jamani

huyu kiazi anasema amejenga shule na mahospitali .... foolish kabisa ... yaani hela ya walipa kodi ni yake ... puke
 
Hakuna wauza madawa wowote ambao Makonda alisababisha wakashikwa na kufungwa. Pia hakuna mashoga wowote ambao walifungwa kwa ajili ya Makonda. Hii ni mbinu ya kutafuta huruma na kutaka kuwafanya watu wasahau madhambi yake hasa ufisadi aliofanya wa kupora mali za watu.
Nashangaa na mie hapa.
 
Bro anataka sympathy kwa vilema leo, kipindi anawaambia polisi wawachape pale Central hakujua haya yatatokea
 
Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.

Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk

Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.

1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.

Mambo mawili najiuliza

1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?

2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?

MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police [emoji1986], ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.

Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.

#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”

Mshenzi mkubwa bashite
 
Vp mlioambiwa mtapimwa tezi dume mnachukua hatua gani?

Wale mlioambiwa mmetelekeza watoto vp?

Tuliombiwa hakuna kuja mjini kama hujaoga tumemsamehe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naibu Raisi mstaafu wa awamu ya 5

Mk.jpeg
 
Sasa huyu Mwamba itakuwaje wakati Pompeo huko alishaharibu. Potelea mbali jitihada za dawa za kulevya unastahili ulindwe.
 
Back
Top Bottom