Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,093
Kila nikiangalia video za Makonda enzi yupo madarakani....kitu ambacho mnapaswa kujua ni kwamba kama Magu angekua hai Huyu Makonda sasa hivi angekua wa hatari mnoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nikiangalia video za Makonda enzi yupo madarakani....kitu ambacho mnapaswa kujua ni kwamba kama Magu angekua hai Huyu Makonda sasa hivi angekua wa hatari mnoo.
Asimsifiee mchezo mwenzio Makonda ngoma ngumuu watu wanataka Kummaliza Bashite .. mwenziw sabaya yupo ndani anakula maharage!Alimpondaga mzee kinana ila juzi akamsifia tena unafiki utaua vijana wachumia tumbo
Daima Mungu huwa analipa hapa hapa duniani.Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police [emoji1986], ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Ndiyo hao hao wanao lialia mitandaonikwani waliohusika kwenye shambulizi dhidi ya Lissu ni akina nani?
Amtangulize Mungu yupi? Labda mungu ZumaridiKwenye hili genge la wahuni na majizi, hawashindwi kufanya chochote. Mtangulize mungu mbele utashinda bila shaka.
Bilionea mwenzake ni SabayaHuyu dawa yake yake imechemka muda mrefu, mama Samia, tuma mtu akaiipue, kama alijaribu kumuwinda Lissu, arobaini yake imefika.
Anahofia kesi ya uhujumu uchumi wakati nyumbani kajaza magari ya kudhulumu? Kadhulumu viwanja? Alimpakaza Ruge na ma scjajajakaaaa mkononi siku anapatanishwa mbele ya JPM baada ya hapo Ruge akaanza kuugua?, bilionea asiye na biashara!, Alipata ubilionea baada ya kuwa Mkuu wa Mkoa mwenye mshahara wa milioni tano!. Alikuwa anafika katika maofisi ya mabilionea anachota Hela kwa nguvu!
Lemutuz naye kamkimbia, a lone wolf!
Mbwa hajawai kua na sikuNachojua ni kwamba kila Mbwa ana siku yake.
Alipokuwa anahukumu wengine yeye alikuwa mwenyezi Mungu?
Kwa hiyo na wewe umeamua uhukumu?
Chakumshauli makonda aende tena mahamani kuchukua jina lake halali lamwanzo Daudi Albert bashite aachane nahili la Paul makondaAsimsifiee mchezo mwenzio Makonda ngoma ngumuu watu wanataka Kummaliza Bashite .. mwenziw sabaya yupo ndani anakula maharage!
Makonda mwenyewe ni shoga, itakuwaje mashoga watake kumuua mwenzao?Sasa shoga anawezaje kuua mtu atampiga na ndala au upande wa kanga?
Kikubwa PM aliishi maisha mabaya wakati akiwa kiongozi alisahau kesho huwenda ikawa si leo ndiyo maana vita imekuwa kubwa kwake kila aliyekwaruzana naye anamtaka, bora hata angetishiwa na wauza madawa tu ila si mashoga.
Basi MpwaNimetoa Ushauri tu kwa Makonda mkuu
Sabaya ameshalala muda huu
Makonda na bosi wako mlitudanganya kuhusu ujio wa meli ya tiba ya mchina, meli ile ilikuwa kwenye mizunguko yake kwenye nchi za Afrika na tiba zilikuwa bure japo mlipiga.Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
na kwa sasa zile clips zake za kauli za ovyo zinasambaa kwa spidi ya 4gHuyu atawekwa selo sio mda mrefu angekua na akili angenyamaza tuu