Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anabubujikwa na machozi ya huzuni baada ya kuona kuwa ndoto yake ya kuwa mbunge wa Arusha mjini imefika mwisho.Lema akimbia mafichoni
Hahah, tatizo huu ubaridi Mkuuacha kuchungulia dirishani wew mchana huu amka ukapambane 🐒
Lucas....umekasirika? 😀 😀Wewe ni mgonjwa kwa hiyo huwezi kuelewa maana ya hoja.
Kilaza wewe, magari ya tajiri mmoja wa ccm ya tours ndo ushujaa.Ndugu zangu Watanzania,
Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Imeshuhudiwa magari ya watalii na kitalii yakiwa yamefurika kwa wingi uwanjani kwa ajili ya kumsubiri Mwamba atakapotua uwanja wa ndege ,ili kuweza kumlaki na kumpokea na kuongoza msafara mzito wa Magari kuwahi kushuhudiwa ndani ya jiji la Arusha kuelekea ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa ajili ya makabidhiano ya Ofisi..
Vijana na wananchi wa Arusha wamejawa na furaha na matumaini makubwa sana juu ya ujio wa Mwamba. Ni gumzo kila mahali,ni shamra shamra kila kona,ni mshike mshike kila sehemu juu ya mapokezi ya Mwamba Makonda jasusi na komando wa vita, field Marshall aliyetangaziwa Mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa ushindi..
Leo nchi kusimama na macho na masikio ya watanzania wote kuelekezwa Arusha na kanda ya kaskazini.upinzani wanatetemeka utafikiri wagonjwa wa homa kali,moja haiendi wala mbili haisomi,upinzani hasa CHADEMA wote wanabubujikwa machozi ya huzuni ya kuona mwisho wao kisiasa ukiwa umewadia.
Endeleeni kutulia kufuatilia kitakachojili na kitakachozungumzwa na Mwamba Mwenyewe Makonda . nitaendelea kuwaleteeni kila kitu na kila habari na kila neno litakalo toka kinywani mwa Mwamba Mwenyewe Makonda Jabali la siasa.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Shujaa ya nyoko!Ndugu zangu Watanzania,

Waambie ukweli Hawa mapimbi!Nchi kusimama? Alikufa magufuli nchi haikusimama unaongea nini wewe?
Umesema ukweli mwamba!Kilaza wewe, magari ya tajiri mmoja wa ccm ya tours ndo ushujaa.
Mengine yote ya serikali kwa maana taasisi,wilaya zote za mkoa wa arusha.
Tuoneshe watu waliokusanyika.
Chawa mkubwa
Utakufa wewe kwa wivu wako. Nenda kaangalie namna watu walivyofurika ofisini na siyo kuleta picha ya mbali.Shujaa ya nyoko!View attachment 2957951
Hiyo ofisi ni uwanja wa mpira!? Nyie mapunga mna matatizoUtakufa wewe kwa wivu wako. Nenda kaangalie namna watu walivyofurika ofisini na siyo kuleta picha ya mbali.
Kwa namna ulivyo panili ni lazima ufe kwa preshaHiyo ofisi ni uwanja wa mpira!? Nyie mapunga mna matatizo
Hata picha hamna?Ndugu zangu Watanzania,
Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Imeshuhudiwa magari ya watalii na kitalii yakiwa yamefurika kwa wingi uwanjani kwa ajili ya kumsubiri Mwamba atakapotua uwanja wa ndege ,ili kuweza kumlaki na kumpokea na kuongoza msafara mzito wa Magari kuwahi kushuhudiwa ndani ya jiji la Arusha kuelekea ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa ajili ya makabidhiano ya Ofisi..
Vijana na wananchi wa Arusha wamejawa na furaha na matumaini makubwa sana juu ya ujio wa Mwamba. Ni gumzo kila mahali,ni shamra shamra kila kona,ni mshike mshike kila sehemu juu ya mapokezi ya Mwamba Makonda jasusi na komando wa vita, field Marshall aliyetangaziwa Mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa ushindi..
Leo nchi kusimama na macho na masikio ya watanzania wote kuelekezwa Arusha na kanda ya kaskazini.upinzani wanatetemeka utafikiri wagonjwa wa homa kali,moja haiendi wala mbili haisomi,upinzani hasa CHADEMA wote wanabubujikwa machozi ya huzuni ya kuona mwisho wao kisiasa ukiwa umewadia.
Endeleeni kutulia kufuatilia kitakachojili na kitakachozungumzwa na Mwamba Mwenyewe Makonda . nitaendelea kuwaleteeni kila kitu na kila habari na kila neno litakalo toka kinywani mwa Mwamba Mwenyewe Makonda Jabali la siasa.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Picha pamoja na video zipo kwa wingi sana kwenye huu uzi.angalia vizuri upate uhondo na utamu.Hata picha hamna?
Kwa hiyo kapokelewa na watu kiduchu hivyo?Picha pamoja na video zipo kwa wingi sana kwenye huu uzi.angalia vizuri upate uhondo na utamu.
Angalia kuanzia uwanja wa ndege na mara baada ya kutoka ofisini alipokuwa akizungumza na wananchi waliojitokeza kumsikiliza.Kwa hiyo kapokelewa na watu kiduchu hivyo?
Mbona mapokezi ya aibu sana haya?
.Ndugu zangu Watanzania,
Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Imeshuhudiwa magari ya watalii na kitalii yakiwa yamefurika kwa wingi uwanjani kwa ajili ya kumsubiri Mwamba atakapotua uwanja wa ndege ,ili kuweza kumlaki na kumpokea na kuongoza msafara mzito wa Magari kuwahi kushuhudiwa ndani ya jiji la Arusha kuelekea ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa ajili ya makabidhiano ya Ofisi..
Vijana na wananchi wa Arusha wamejawa na furaha na matumaini makubwa sana juu ya ujio wa Mwamba. Ni gumzo kila mahali,ni shamra shamra kila kona,ni mshike mshike kila sehemu juu ya mapokezi ya Mwamba Makonda jasusi na komando wa vita, field Marshall aliyetangaziwa Mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa ushindi..
Leo nchi kusimama na macho na masikio ya watanzania wote kuelekezwa Arusha na kanda ya kaskazini.upinzani wanatetemeka utafikiri wagonjwa wa homa kali,moja haiendi wala mbili haisomi,upinzani hasa CHADEMA wote wanabubujikwa machozi ya huzuni ya kuona mwisho wao kisiasa ukiwa umewadia.
Endeleeni kutulia kufuatilia kitakachojili na kitakachozungumzwa na Mwamba Mwenyewe Makonda . nitaendelea kuwaleteeni kila kitu na kila habari na kila neno litakalo toka kinywani mwa Mwamba Mwenyewe Makonda Jabali la siasa.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Labda wewe ndio Zombi Mwenyewe