Paul Makonda kupokelewa kishujaa Arusha, Magari ya msafara yafurika uwanja wa ndege kumsubiri atue

Kilaza wewe, magari ya tajiri mmoja wa ccm ya tours ndo ushujaa.
Mengine yote ya serikali kwa maana taasisi,wilaya zote za mkoa wa arusha.
Tuoneshe watu waliokusanyika.
Chawa mkubwa
 
Shujaa ya nyoko!
 
Kilaza wewe, magari ya tajiri mmoja wa ccm ya tours ndo ushujaa.
Mengine yote ya serikali kwa maana taasisi,wilaya zote za mkoa wa arusha.
Tuoneshe watu waliokusanyika.
Chawa mkubwa
Umesema ukweli mwamba!
 
Hata picha hamna?
 
Kwa hiyo kapokelewa na watu kiduchu hivyo?

Mbona mapokezi ya aibu sana haya?
Angalia kuanzia uwanja wa ndege na mara baada ya kutoka ofisini alipokuwa akizungumza na wananchi waliojitokeza kumsikiliza.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…